Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,409
- 8,911
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums Nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!