waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Maeneo mengi ya mitaa ya Kariakoo yamefurika marundo ya taka zisizolewa kwa muda kama inavyoonekana pichani hapa ni nje ya Soko la Kariakoo. Haikuweza kufahamika chanzo cha kutozolewa taka hizo kuwa huenda magari ya kuzoa taka hizo pia yameharibika kama ilivyo kwa barabara nyingi za jijini Dar ama vipi.
Hapa ni mzibua mitaro akijaribu kuzibua moja ya mtaro katika mtaa wa Living Stone huku pia kukiwa na rundo la taka eneo hilo.
Hapa ni mtaa wa Living Stone na Mchikichi.....
Hapa ni mtaa wa Sikukuu na Nyamwezi.....
Hapa ni mtaa ni mtaa Kongo...
Hapa ni mtaa wa Nyamwezi......
Hapa ni mtaa wa Msimbazi Stendi ya Mwananyamala, ambapo ndiyo gari la taka lilikutwa likianza kuzoa taka hizo.