Hapo na "Kwa Mfuga Mbwa" wapi afadhali?
kiranga;
Usilinganishe Mathare na kwingine kokote duniani. Kwa Mfuga mbwa ni Obay kulinganisha na Mathare. Swali ni; Je, Serekali ingali amua kubomoa sehemu flani ya Makazi hayo, ikajenga gorofa hapo, Je watu si wangeishi ka watu? Kidogo kidogo, kwa hiyo miaka ya uhuru yote si kila mwaka wangeweza anzisha makazi mema kwa raia wake??
Laiti tungepata viongozi wenye nia njema na wananchi wake. Tungekwenda mbali. Yako wapi mawazo mema ya kina mzee Karume jamani. Kuwatakia maisha mema watu aliokuwa anawaongoza? Mzee Karume alitutoka lakini atakumbukwa kwa magorofa yake alowajengea watu wa chini (Walala hoi)