Ni mwiko kabisa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi sehemu ambayo unafanya kazi masaa zaidi ya 6.
Kama ni kweli umefanya hivi BELIEVE ME, itakugharimu na kuna siku utajuta kwanini ulifanya hivi.
Hakika, ni mwiko...mimi huwa nasema;
1. Ofisini/kazini
2. Jirani-- hasa wachepukaji.
3. Maeneo ya ibada, kanisa/msikiti.
Mwiko kuanzisha mahusiano na watu wa maeneo hayo.
 
Boss siku zote yuko juu ya wafanyakazi wake. Hujafanya mapenzi na boss wako ila BOSS WAKO KAFANYA MAPENZI NA WEWE. Boss kakutumia na mshahara ule ule wa ofisi na mbali na kuwa mwanaume umeliwa na boss 😬
:)
Na ategemeee kuwa mtumwa wa boss ataki ategemeee visa,na mwanamke akikuchukia sehemu ya Kazi utakoma.
Asubirie tu part two.
 
Mkuu, yaani mambo yamekuwa marahisi mno mno. Japo exception zipo, kuna wadada hadi uwavue uwe umefanya kazi ya ziada mno, lakini wengi wao kwa sasa ni swala la kuelewana tu.
Yaani imekuwa ni mtelezo sana Hali inatisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom