Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
Utakuwa hujui kufanya
Kwanza huyo house girl anayekubali ku offer service kirahisi hivyo nina mashaka ndie mchawi wa ndoa yao.
kale kamzizi alikokuja nako kameanza ku work.
Sasa kwanini tusiachane?Wewe ukiwa huwezi na mumeo bado anaweza na unampenda ni bora aowe kihalali au akazini?
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.
Nimefanya hayo out of confusion sioni mabadiliko na elewa unapokuwa unategemea kitu mambo yakawa kinyume unaweza fanya maamuzi yanayoweza shangaza kama haya hapa. kama ni kuongea na wife tumeongea sana kuitiana hata wazazi. mi sipendi ugomvi kugombana ovyo sipendi and that ndio njia nimeona sahihi kwangu. Lini tutaachana, tunategemea kufika wapi, future yake itakuwa vipi, ukichonga mzinga itakuwaje hayo ni mambo mengine ila mi naona bi afadhali kuliko kuzunguka huku na huko mitaani. Mtaniona abuser ila potelea mbali hamwezi kujua ugumu wa mapito yangu.
He!
Umeamua kucheat na housegirl ku'rescue' ndoa??..ryte!!!!!
Swali muhimu la kujiuliza hapa ni 'mpaka lini'???..
Lingine unaloweza kujiuliza ni 'je mkeo akijua itakuwaje kwa huyo beki3'??
My take: Two wrongs will never make it right!..umechemsha bro!
Malizana na mkeo tu na kama itabidi ufanye infedility it will slightly be justifiable kama utaenda mbali ya nyumbani kwako!!
Sasa kwanini tusiachane?
Jana tu nilikua naongea na King'asti kuhusu ndoa na matatizo yake.
Kwa kweli bora kujikalia single, this is the biggest scam from society!
I know. Kwangu mimi bora kuachana kuliko kubanana.Nayo ni halali pia.
Haujaepuka kugombana kwa sababu duniani hakuna siri, kama ipo ni ya mmoja na si zaidi ya hapo.