Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,166
Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya,

Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule.

Yesu tusaidie wanaume.

Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3 tu.

Mungu kaniponya na huu mtego wa Ibilisi.

Nimeponaje?
Nimewaza effects za tendo , Yaani nimeenda mbali mpaka kucheki maisha baada ya kumfanya huyu binti.
Sasa niko huru.

Hii ndio njia nitaitumia kuepuka kufanya ngono na mtu asiye sahihi. Nitawaza madhara na si kuwaza ladha ya zile dk 5.

Fanya hivi kijana na mwanaume ili uvuke vikwazo
 
Back
Top Bottom