Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

POle Mkuu

Ukiwa na mke, na inapita mwezi hana hamu na wewe, na ni mzima wa afya, ujue babu jinga mali yako inaliwa

pole ya pili, umeji-relegate kutoka premier league hadi daraja la pili... kutoka mke hadi beki tatu

pole ya tatu.........
 
yangu macho na masikio
Hivi karibuni utakuja na kisanga kingine
Housegal ana mimba yangu
Wife amejua nina mahusiano na hausegal ndani hakukaliki
Sikujua Housegal kumbe alikuwa anatoka na muuza duka la mangi
Nk nk ...hii ni introduction
 
It is unfortunate kwa kweli kwa kuwa ktk situation kama hivyo. Wanawake wengi, walau kwa maoni yangu, hawajui what sex means to a man. Kukosa sex kwa mwanaume, tena ktk ndoa, ni jambo linalokera sana. Kwa mwanaume sex ni kama chakula. Mkeo kwa kuonesha kutokulijua hili, ajue kuwa anarisk ndoa. Nadhani wanaume wengi ktk situation kama hii wangetafuta alternative. Labda alternatives hizi ndo zingetofautiana. Kama shida yako ni kupata huduma na maisha yaendelee kwa amani, basi hgirl ni risk zaidi.
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

Kweli Dunia uwanja wa Fujo!
 
Napiga picha jinsi ulivyokuwa umemwinamia housegel wako na kumueleza siri za ndani kabisa za mkeo, Ki-ukweli haukumtendea haki mkeo hata kidogo! Ulichokifanya ni kujitafutia solution ya muda mfupi ya tatizo lako, bila kuangalia madhara yake baadaye. Imagine mkibadilisha housegel, huyo mpya naye utamwambia? Je housegel akipata mimba, utafanyaje? Mkeo akigundua, itakuwaje?

Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningejitahidi kutafuta sababu ya msingi ya kumfanya mkeo akose hamu ya kuwa na wewe maana inawezekana kuna vitabia ulivyovianza ambavyo vinamkerea na anakuonea aibu kukwambia ambavyo kimsingi ndo vinamnyima raha ya kufurahia hiyo ndoa. Jiangalie tabia zako na utundu wako na hata perfomance ya sita kwa sita inaweza kuwa unamtia shombo tu dada wa watu.

Ila all in all, kwa housegel, umekosea sana!

Mkuu hapo kwenye red: If a woman recognises her power over man, and chooses to exercise it, SHE can own a man like this one mleta thread hii
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

acha kutuchekesha, wasemao sio watendao utamponza mwenzio
 
Umekosea sana tu...nina uhakika H/g amekukubalia c kwa sbb ya kukupenda bali kwa kuogopa kumkatalia BB mwenye nyumba na huwezijua anakufikiriaje, ww huna tofauti na wale wenye kutoa ajira kwa rushwa ya ngono..Na kikubwa hapo umemkosea heshima mkeo na watoto wako...mkeo hanashida nenda nae taratibu kwa kutumia trick za kiuanaume kwani yuko kwa ajili yako nawe upo kwa ajili yake (RAHA YA PENZI KUBEMBELEZWA/KEBEMBELEZA)....huko ulikofika siko...ACHA MARA 1.

Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.
 
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Kumbe Elimu ya UKIMWI imekupita kushoto mkuu!
 
It is unfortunate kwa kweli kwa kuwa ktk situation kama hivyo. Wanawake wengi, walau kwa maoni yangu, hawajui what sex means to a man. Kukosa sex kwa mwanaume, tena ktk ndoa, ni jambo linalokera sana. Kwa mwanaume sex ni kama chakula. Mkeo kwa kuonesha kutokulijua hili, ajue kuwa anarisk ndoa. Nadhani wanaume wengi ktk situation kama hii wangetafuta alternative. Labda alternatives hizi ndo zingetofautiana. Kama shida yako ni kupata huduma na maisha yaendelee kwa amani, basi hgirl ni risk zaidi.
ni kweli mkuu mkewe ana makosa tena sana
tatizo jamaa alivoamua kusolve iyo issue..bora hata angeoa mke mwingine
 
Mkeo ana umri gani? Je anatumia njia za uzazi wa mpango? Sipati picha hamu imeenda wapi...kama ilikuwepo at first place?

Nimefanya hayo out of confusion sioni mabadiliko na elewa unapokuwa unategemea kitu mambo yakawa kinyume unaweza fanya maamuzi yanayoweza shangaza kama haya hapa. kama ni kuongea na wife tumeongea sana kuitiana hata wazazi. mi sipendi ugomvi kugombana ovyo sipendi and that ndio njia nimeona sahihi kwangu. Lini tutaachana, tunategemea kufika wapi, future yake itakuwa vipi, ukichonga mzinga itakuwaje hayo ni mambo mengine ila mi naona bi afadhali kuliko kuzunguka huku na huko mitaani. Mtaniona abuser ila potelea mbali hamwezi kujua ugumu wa mapito yangu.
 
Sasa hapa umeleta ya nini kama umeshaanza uzinzi na huyo mtoto wa watu ambaye umeamua kumharibia maisha? Yaani badala ya kutafuta ushauri kwa wanaoweza kukusaidia wewe unamweleza suala muhimu kama hilo housegirl, kweli wewe hamnazo. Tafuta maarifa kwa Mungu, wewe hujui hakuna kitu shetani anapiga vita kama ndoa kwa sababu anajua lazima uzini tu na ukizini moto wa milele unakuita. Cha MUHIMU ACHANA NA HUYO MTOTO WAKO (maana housegirl ni binti yako tu). TAFUTA WATUMISHI WA MUNGU WAWAOMBEE NA MAMBO YATARUDI SAWA TU
 
Hapo ndipo utajuwa uzuri wa Uislaam, huna haja ya kufanya zinaa na kuzaa nje ya ndoa unaongeza mke tu.
Mmehalalishiwa uzinzi na shetani halafu mnachekelea kumbuka furaha ya waovu ni ya muda mfupi tu, pole sana kwa kukaa gizani bila kuijua nuru halisi (Yesu Kristo) amtiaye nuru kila mtu.
 
Kwanza umenishangaza vile uliwezaje kukaa na house girl na kumweleza matatizo ya mkeo afu eti yeye akakwambia hakuna shida atasaidia kuokoa jahazi! Nzuri zaidi umekazana kusema kuwa unajiepusha na ukimwi???? Khaaa kwani una uhakika gani kama huyo house girl hamegwi na wengine?

Yaani wewe ni funga kazi!
 
Yani nakwambia shetani...kupitia kwa binadamu (vimada) anawinda sana ndoa zetu. Bila maombi hamna kitu. Hii ni vita kwa kweli.

Hata kukosa hamu ni kazi ya shetani hiyo. Unakuta mtu ana jini mahaba na hana habari.

Back
Top Bottom