Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

From All The Toys In The World,
People Choose
“Feelings”
To Play With…!!

DUH,poor woman, umemchambua kwa house girl wee, n yet unaamin kuwa huyo house girl atamuheshimu mkeo,
kweli kuna haja ya wanaume nao kufundwa kabla ya kuingia kwenye ndoa, sio unaROPOKA matatizo yenu haovyo hovyo

kuna uwezekano mkubwa tu kuwa mkeo ana tatizo la kiafya, badala ya kumuelewa na kutafuta ufumbuz we unatandika tu h/g
shame on you...........................

vunja ndoa yako kwa mikono yako we mwenyewe halafu uje utulilie tena jf kwa ushauri.......lol
 
Kwanza huyo house girl anayekubali ku offer service kirahisi hivyo nina mashaka ndie mchawi wa ndoa yao.

kale kamzizi alikokuja nako kameanza ku work.

Aisee
wewe umeongea kitu watu wengi hawakioni
unaweza fikiri wewe ndo umeamua
kumbe housegirl siku nyingi alishayapanga
na wewe unaenda according to the plan ya housegirl....
 

Ha ha ha....what a funny story..

Ila huu ni uzinzi kaka, wale wanaoufanya hawataenda Mbinguni/ahera vyovyote unavyopenda kupaita..sidhani kama kuna ushauri bora zaidi ya kuacha hako kamchezo mkuu...halafu pia, kama unadai kuwa mkeo suala ni 'kumkumbusha' tu?sidhani kama ni ishu,,wewe endelea kumkumbusha sidhani kama anakataa ukianzisha,,kwa nilivyokusoma,inawezekana hata yeye anajiuliza kwanini siku hizi huombi kabisa hiyo haki yako..,unaweza ukamsoma pia ujue vijizawadi gani uwe unampa kushamirisha uwepo wake kimawazo..

hayo tu.
 
Bwahaha haahahaaaa ! Mkuu kwa hyo ulivyoamua kuoa mke mdogo kimya kimya ulifiliri ndo unasolve? Alafu kwa akili yako wewe unafikiri ma beki 3 ndo hawana ngoma ee? Hawa ndo wako ktk risk kubwa coz wadanganyika kirahisi. . Wauza nyama, genge, machinga, maduka wote hao chakula yao. Watch out bro.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Hapo kwenye red!!! House maids wengi wa kileo ni malaya wa kutupwa!!!!! Wengi wao wameanza kutembea na waume za watu na house, boy na vijana wa jirani tangu walipofika mjini na wengine wameanza kabla hata hujawatoka kijijini!!! Je huyo binti ulimkuta bikra!!!? Nataka nikupe kisa cha ukweli, kwa wale ambao wanafahamu maeneo ya Sinza jirani na kanisa la Full Gospel kwa Kakobe binti wa kazi aliambukiza ukimwi kwa baba mwenye nyumba, watoto wa kiume watatu wa baba mwenye nyumba na hatimaye mama mwenye nyumba miaka zaidi ya kumi iliyopita. Na kwa sasa hali ni mbaya zaidi.
Nakushauri hebu tulia, kaa tena na mwenzio, saikolojikali labda ana shida. Waone wataalam na tatizo litaisha kabisa, Mwambie aongeee na watu wazima wana mbinu za kurudisha hali salama. Si vibaya, kutafuna hata vitu asili kama kashata, n,k. Kuna ndoa ilinisumbua sana maana mke bila sababu alipoteza hisia sana za mapenzi na kuna mama mmoja alimsaidia sana kwa mawazo na alishinda tatizo hilo. Pia maombi kwa viongozi wa ukweli wa dini inasaidia maana nao binadamu wana wivu wanaweza kuwachonganisha kwa njia za giza. Haya mambo yapo ndiyo maana utaambiwa mara jini mahaba mara vile. Simamia mpango huu mleta mada kabala hujaishia kukanyaga miwaya.
 
Nimefanya hayo out of confusion sioni mabadiliko na elewa unapokuwa unategemea kitu mambo yakawa kinyume unaweza fanya maamuzi yanayoweza shangaza kama haya hapa. kama ni kuongea na wife tumeongea sana kuitiana hata wazazi. mi sipendi ugomvi kugombana ovyo sipendi and that ndio njia nimeona sahihi kwangu. Lini tutaachana, tunategemea kufika wapi, future yake itakuwa vipi, ukichonga mzinga itakuwaje hayo ni mambo mengine ila mi naona bi afadhali kuliko kuzunguka huku na huko mitaani. Mtaniona abuser ila potelea mbali hamwezi kujua ugumu wa mapito yangu.

Mkuu pole sAna, la muhimu utambue kwanza umekosea sn, coz hapo umemshushia mkeo pia heshima yake. Tafuta suluhu nyingine hii ni kuleta matatizo na magonjwa ktk familia yako. La muhimu kama umeongea na mkeo haelewi muonane na dk kwa ushauri. sidhani kama anafanya hvyo kwa kusudi (as long as km yeye hacheat)

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kweli akili za mbayuwayu changanya na zako housegirl hawa wa leo waliokubuhu kwenye kila fani ndio unajidanganya hawana ukimwi pole zako.
 
He!
Umeamua kucheat na housegirl ku'rescue' ndoa??..ryte!!!!!
Swali muhimu la kujiuliza hapa ni 'mpaka lini'???..
Lingine unaloweza kujiuliza ni 'je mkeo akijua itakuwaje kwa huyo beki3'??
My take: Two wrongs will never make it right!..umechemsha bro!
Malizana na mkeo tu na kama itabidi ufanye infedility it will slightly be justifiable kama utaenda mbali ya nyumbani kwako!!

logically yuko right kwasababu right (true) then wrong (false) inakuwa right (true) and it is called tautology. huyo housegirl lazima atakuwa mtamu sana mpaka unakaa mwezi humkumbushi mrs dah! kweli kua uyaone - siyo maghorofa
 
Unachokifanya ndg ni kosa kubwa mno ndoa haisuruhiswhi hivyo hapo ni shetani tu anacheza na akili zenu ili aimalize ndoa yako vzr kwa sababu mwishoo wa unachokifanya ni kuvunjika kwa hiyo ndoa au kupoteza furaha na amani unayoiona sasa cha msingi acha huo uchafu unaoufanya mrudie mkeo mtafuteni Mungu kwa juhudi zote aweze kumfungua mkeo muendeleze hiyo amani yenu huyo mkeo anahitaji maombi tu na ushauri wa watalaam aweze kufunguka! Weather anaruka nje au ni shetani tu kamfunga Mungu atamfungua na kuilinda ndoa yenu Hakuna lisilowezekana kwa Mungu! Unayoyafanya sasa unampa shetani kiburi na siku ya siku atakuaibisha vibaya na utayajutia hayo! Tunza na heshimu ndoa yako kaka!
 
Jana tu nilikua naongea na King'asti kuhusu ndoa na matatizo yake.
Kwa kweli bora kujikalia single, this is the biggest scam from society!

Tunakuwa friends with benefits tu, mtu akijichokea mlango waaaazi hamna hata haja ya kujifaragua na hg.

Angalau tutakuwa wakweli kuliko upuuzi wa charade la "til death do us part" kumbe hg tu anakosesha watu uzalendo.
 
Nayo ni halali pia.
I know. Kwangu mimi bora kuachana kuliko kubanana.
Haya ya wake wawili yanawafaidi (baadhi) ya wanaume
ila kwa upande wa wanawake nadhani ni udhalilishaji (IMO)
Mbaya zaidi ni huyu anae cheat na housegirl wake mwenyewe
huyo binti akinogewa anaweza kumdhuru "madame" (wivu)
Pia kama alivo point mkuu Kiranga, maybe analazimishwa
Katika mazingira haya ni vigumu sana kumsupport Mwana Kwetu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom