Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa
no wonder huwa unaongea vapour sana jls, kumbe ushaathirika! laanakhum! like kikwete, like any other gamba!
 
kwahiyo wewe ulikuwa unambaka HG wako, alafu unajisifia in public bila woga

amakweli....

Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa
 
Hongera sana kaka. Umefanya jambo la busara. Kaa na mkeo, muambie anasaidiwa na hgeli, na umsihi akijisikia anataka nae kujikimu asitoke mbali zaidi ya hboy na mlinzi.
Mjadili, mjiulize mko wangapi? Kama ni wanne tu, mtulizane. Hongera kwa kujijali na kujali familia yako.
nimekupenda bureeeeeee! mzima wewe mrembo?
 
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vicocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na peace na upendo ukitawala katika nyumba. Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 years na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti aka sema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe. Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Napiga picha jinsi ulivyokuwa umemwinamia housegel wako na kumueleza siri za ndani kabisa za mkeo, Ki-ukweli haukumtendea haki mkeo hata kidogo! Ulichokifanya ni kujitafutia solution ya muda mfupi ya tatizo lako, bila kuangalia madhara yake baadaye. Imagine mkibadilisha housegel, huyo mpya naye utamwambia? Je housegel akipata mimba, utafanyaje? Mkeo akigundua, itakuwaje?

Ningekuwa mimi ndiyo wewe ningejitahidi kutafuta sababu ya msingi ya kumfanya mkeo akose hamu ya kuwa na wewe maana inawezekana kuna vitabia ulivyovianza ambavyo vinamkerea na anakuonea aibu kukwambia ambavyo kimsingi ndo vinamnyima raha ya kufurahia hiyo ndoa. Jiangalie tabia zako na utundu wako na hata perfomance ya sita kwa sita inaweza kuwa unamtia shombo tu dada wa watu.

Ila all in all, kwa housegel, umekosea sana!
 
no wonder huwa unaongea vapour sana jls, kumbe ushaathirika! laanakhum! like kikwete, like any other gamba!
ww miguu huwa unaachia kirahisi? si lazima ugangamale, ni mwanamke gani unayeongea vapour mpaka utongozwe ndio ujue ni gamba au gwanda
ww zungumzia mada iliyoewkwa usilete siasa humu hayakuhusu hata km naongea ushuzi wa chama chako sio jukwaa lake tutafutane kivingine usijenitafutia BAN
 
Du hata mm jana tu H/G wetu ndio karudi kwao Morogoro nimejikung'utia mwaka na miezi 6 bila wife kugundua na nilikuwa nawachanganya.
Kakuku ka kienyeji katamu maana kanatetemeka kweli ukikaweka mguu pande mpaka utumie ubakaji na huchekewi nashukuru kameondoka salama bila kushtukiwa

Mamaae...utafanyaje sasa.. saa nyingine wanazingua kweli kweli.
 
kwahiyo wewe ulikuwa unambaka HG wako, alafu unajisifia in public bila woga

amakweli....
Hapa kumbe ni public? umeingiaje humu bila password, ni mwanamke gani anaachia miguu bila kuizuia hebu tafuta jukwaa tunaloliongelea na uangalie mada
[h=2]Nimeamua kutembea na binti wa Kazi sina jinsi[/h]mm ndio nimeileta kwa nini usimshauri mleta mada Mwana kwetu au mmetumwa mnitafutie BAN? nomba mjibuni mtoa mada
 
Mmekalia kulaumu kama nini haswa wanawake mnatupeleka kusiko kwani hata mimi siyo kwamba najiona kidume bali naona nimepoteza kabisa heshima ya ndoa . Infact nitahita psychological rehabilitation kwani wengi comments zenu zimenichoma roho sana sana . Naomba tena mnisamehe nijajitahidi kuacha hii kitu kwani naona inakuwa very embarassing kwangu
 
unaruka maji unakanyaga moto
tafuta mbali na nyumbani kwa mtu anaeleweka wako mabinti kibao wana haiba zao, na kazi zao za maana
hawana watu wa kuwapa goodtime tafuta mmoja ila sio kwa dada wa kazi
mabinti wa kazi sumu she can even kill your wife to inherit your fortunes
 
maa muz ulyoyachua ni mazur saaana, unajua inakuwa ngum kama m2 rjal na yuko ndan ya ndoa kukaa muda mref bla mambo flan na mwenza wake, uhalsia itakua mke wako anagongwa ksela na m2 mwngne ndo maana mud ya mapenz na ww kwa sasa hana, so we endelea kumgonga bek3 ila 2mia mipira kuepuka mmba na magonjwa.
 
Lahaulaaa! Kosa halirekebishwi kwa kosa! Wewe na mkeo hamna budi kupata ushauri na nasaha za kitaalamu kwa mabingwa waliobobea. Inawezekana tatizo ni wewe unataka tunda kwa mazoea na sio kwa mapenzi...halahala mngoni asiishtukie hiyo dili utasaga meno.
 
Na maisha ya mbele ya huyo Binti umeyafikiria? Na ujue iko siku mkeo atajua tu - jiandae. Pia huyo binti ataanza kukudai kuliko ulivyotayari kutoa.

Si bora adai tu,wifi angu,yani dada wa mume wangu,aliuliwa na housegirl ili yeye aolewe,nakuambia soon after mazishi baba alianza kulala same room and bed na housegirl,na binti alishawaeleza wasichana wenzake wa jirani kuwa mimi nitakuwa mke wa baba hivi karibuni,mwanaume kuulizwa na ndugu zake kulikoni,akasema ndio nimeshahamua hayawahusu!wifi aliugua ugojwa wa ajabu ajabu tu,withini a month,RIP wifi angu,nalia upya!1
 
umekosea sana, maana huyo mtoto huna future nae zaid ya kumfanya mke msaidizi na isitoshe nyumbani kwao wanajua yuko kazini kumbe mke msaidizi!! acha tabia hyo harafu nadhan umeanza zaman
 
kweli tumetofautiana uwezo wa kufikiri....ivi mtu uliyemuoa n amkaunganika kuwa mwili mmoja inafikia pahala unamuogopa kiasi hicho?unashindwa kuongea nae suala nyeti kama ilo?na bado unamchekea wakai uyo ni muuaji na mbinafsi.........anyway yawezekana pia ukawa ni one minute man...kwamba umpande usimpande huna effect..hayo ndo madhara yake...............trust me kuna wanaume wanacheza na mwanamke bila ata penetration na mwanamke anafika at amara 4....tatzo mtu unawawa kut.omba tu.............mpe maandalizi mazuri;tenderness;mdekeze;be romantic atakueleza ana tatizo gani..wanawake hawajawahi kuwa wakatili....
 
Back
Top Bottom