Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.
kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..
Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..
kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania