Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

CHADEMA , hakiwezi kufungamana na watu wasio na akili timamu, wanaoongozwa na mtizamo wa kidini na ukabila.
Huwenda ukafit kwenye hivyo vyama ambavyo havina magreat thinkers, zaidi vina wachumia tumbo.
Nenda na usirudi tena , kwakua muda wa ukombozi hauko mbali
 
wewe hukua chadema.mwana chadema anatambuluka kwa maneno na matendo.wewe gamba huna lolote.mia
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

mtumish wa Mungu unauhakika na unachokiandika? Unaweza kusimama mbele ya waumin wako ukathibitisha hayo?
 
Kuhama au kutohama chama ni haki yako. Hata ukitaka kujiunga na al-Shabaab ruksa. Nenda salama mwanakwenda.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Kuna watu huwa hawapati usingizi ikipita siku bila kuanzisha thread yenye kusakama Chadema, Ukristo na Uchagga!
 
Ujui ilisemalo bwana atakulinda

utumishi wa Mungu na vyama vya siasa wapi na wapi? anyway, ili maisha yasonge na siku ipite ni lazima wehu wajionyeshe tupate kuwajadili.
linatoka pepo moja yanarudi saba yenye nguvu, bado tutapambana nayo tu.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Mtumishi wa Mungu halafu unasema uongo kwenye jukwaa lenye watu mara 500 ya hao unaowadanganya kwenye vikanisa vyenu uchwara. Shame on you. Kaombe visadka sio kuchefua watu hapa.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
Huna utumishi wa mungu wowote, bangi ndizo zinazokuhangaisha tu.
 
Kama chadema kuna uchaga huyo kafulila kule alipokelea sasa hivi ndo anajijenga kumbuka kule mwenyekiti ni NDUGU MBATIA JAMES mzaliwa wa kilimanjaro
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Mimi nawashangaa ninyi watu wengine wa sampuli hii. Kuna watu wengine wanapokaa bila kutukanwatukanwa hawaoni raha ili mradi mpaka waongee au wafanye mambo yanayowachokonoa wengine ili mradi tu wasemwesemwe ndiyo raha yao. Sasa kama huyu hivi ulivyoingia cdm ulitangaza??? na kama unataka kuondoka si uondoke kama ulivyoingia??? Inaelekea kuna mushkeli mahali fulani pengine uwaone wataalamu wakuchunguze na kukusaidia
 
Tuseme Chadema ulikua nani zaidi kiasi kwamba kuondoka kwako kutakiathiri Chama?!!
Yaani unavotangaza utafikiri labda ulikua mtu mmoja muhimu sana kwenye chama, kumbe labda mpiga kelele tu barabarani.
Pili naona kama unaenda kuwaongezea matatizo yako tu juu ya yale waliyonayo wao wenyewe. Yaani bomu linalipuka mahali, wenzio wanalikimbia hilo eneo, we ndio unakazana kulikimbilia.
Tatu, ningekushari ujiegemeze zaidi kwenye uchungaji wa koondoo wa bwana kuliko kujiingiza kwenye Siasa ambazo kama umeshindwa kujua pumba ni zipi na mchele ni upi basi kuna kila dalili huziwezi hizo siasa ulizoziingia kichwa kichwa.
 
Back
Top Bottom