Nimeamua kuhama rasmi CHADEMA nimehamia NCCR MAGEUZI

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
894
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania
 
Hahaha inabidi nicheke ukihama chama mpaka utangaze who are u by da way?kuja kutujazia upupu hapa'' watu wanalia njaa unakuja na ujinga wako huo wa kuhama chama.
 
Mtu wa mungu utakuwa wewe? Tutolee pombe za mchana hapa! Kilaza mkubwa wewe!
 
  • Thanks
Reactions: KUN
Wakati wa kujiunga CHADEMA ulijitangaza? Nani kakuambia kuwa wachangiaji wote humu ni CHADEMA? Just because watu wanatukana dini za wenzao haimaniishi kuwa wao ni CHADEMA.
 
Safu sana mtumishi wa Mungu uliyejazwa roho ya kukata tamaa na kukimbia pale unapoona panaharibika,inaonekana ndio tabia yako ya maisha na hata imani yako,sitoshangaa kukusikia tena ukitutangazia hapa kuwa umehama dini yako na kwenda nyingine.
 
Hakika hujatendewa haki. Kwa hadhi yako ktk maamuzi haya ulitakiwa ukodishiwe ukumbi ukutane na waandishi wa hbr kama ilivyofanywa kwa BAMIKITA NA IPF.
 
Uhuru Wa Kikatiba, Nenda Mzee. Na Ukihama Huko Usije Kutangaza Tena Hapa Unajaza Tu Nafasi
 
kafulila mwenyewe ana mpango wa kurudi cdm. Kama umeamua kumfuata huyo sijui utarudi. Kingine mtumishi wa Mungu hakimbii vita unamaana wewe unamkimbia shetani badala ya kupambana naye na kumshinda.
 
wadungu, JF
Mimi ni mtumishi wa mungu, nimeamua kuondoka Chadema na kuamia NCCR MAGEUZI kuanzia leo, nimechukua maamuzi mazito billa kushawishiwa na mtu yoyote.

kilichonikimbiza Chadema ni udini na ukabila uliopo ndani ya Chadema, nimeogopa kumkosea Bwana, nilitaka kuamia CCM lakini huko nako kumeoza sana Masheikh na Maaskofu wote wamekumbatiwa na mafisadi wa CCM, ni mawakala wakubwa wa mafisadi..

Nasikitishwa sana na michango ya wana Chadema humu JF kuna wakati wana Chadema Jukwaa la dini utakuta wanatukana dini za wengine, wakati mwingine tena unawakuta hao hao wana Chadema wanamtetea Dr.W. Slaa. mimi kama mtumishi wa mungu sikubaliani na hii hali..

kiti kingine ni Uchagga kila sehemu, najua hili watu wengi watapinga lakini ndiyo ukweli wenyewe, nakwenda kuungana na kijana makini David Kafulira..
MUNGU Ibariki Tanzania

Sounds crapper
 
masaburi hayo!! naona umetumwa na magamba wew sio siri. kauli yako hiyo ya udini na ukabila ndo kauli ambayo magamba wanapenda kuitumia ili kuidhoofisha CHADEMA. We sepa tu mnafiki mkubwa wewe.
 
Wakati wa kujiunga CHADEMA ulijitangaza? Nani kakuambia kuwa wachangiaji wote humu ni CHADEMA? Just because watu wanatukana dini za wenzao haimaniishi kuwa wao ni CHADEMA.
kijana sisi ni watu wazima!! hata mtoto wa miaka 2 anaona hii kitu, watukana dini za wenzao hao hao unawakuta wameanzisha thread za kumsifia Dr Slaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom