Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,631
- Thread starter
- #61
Muda upi kaka ninaopoteza kwenye kazi yako?lowasa ni fisadi tu. asafishiki usipoteze muda wako

lowasa ni fisadi tu. asafishiki usipoteze muda wako
Akheri yako wewe utakayefika.Hatafika 2015 huyo mtu afya mgogoro
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Kura ndio itakayoamua nani atakuwa kiongozi na sio mtawala wa Tanzania
Ufalme wako umepimwa umeonekana umepungua siku zako zinahesabika......
Muda upi kaka ninaopoteza kwenye kazi yako?
alifisidi familia yenu?