Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

Nimeona hii kava la simu. Si kwa ubaya tu,ila natamani kuwajua hawa marafiki wa Lowassa ni kina nani? Mbona uwa hawajitokezi hadharani?
 
Attachments

  • 1416808474559.jpg
    1416808474559.jpg
    30 KB · Views: 132
Ebu kuwa kiakili. Sasa majukumu ya waziri mkuu ni yapi? Ulitaka afanye nini? Mtu hasifiwi anapotimiza majukumu yake, asifiwe anapopitiliza kiwango alichowekewa. EL alikuwa anatimiza majukumu yake bila kuvuka mstari.

Ndio maana akasema vyote alivyofanya, angepitiliza kama sio akina mwakyembe na slaa kumbambikia tuhuma ambazo sio za kweli, then mtu makini anaachia ngazi ili uchunguzi ufanyike, nani mwingine toka enzi ya hayati sokoine kafanya hivyo..!? Edo ndio mwenyewe 2015 kura yangu atapata..!!
 
Unajuaje kama ndio ww una matatizo ya akili.....

Sbb kati ya sampling ya watu 100 wanasema anafaa...ww pekee unasema hapana...nani ana matatizo ya akili hapo..!!?? Jibu unalo

raia Wengi Wa Nchi Hii Wana Matatizo Ya Akili toka Wanazaliwa
Hivi Utanishawishi Kwa Yapi Ya Maana Aliyonifanyia Huyu Mtu, Kwa Ajili Yangu Na Kwa Nchi Yangu?
Jigo
 
nashukuru sana kuirudisha hii mada kabla sijabadili jina kutoka Ng'wanapagi na kujiita Kambagasa "maana yake kichwa ngumu" nilitukanwa sana na wana jamiiforums na mungu ni mwema TWAWEZA wamepita njia hiyohiyo. Nashkuru sana kwa uzi wangu kurudishwa hapa naamini muda si mrefu tutaheshimiana tu.
 
Ndio maana akasema vyote alivyofanya, angepitiliza kama sio akina mwakyembe na slaa kumbambikia tuhuma ambazo sio za kweli, then mtu makini anaachia ngazi ili uchunguzi ufanyike, nani mwingine toka enzi ya hayati sokoine kafanya hivyo..!? Edo ndio mwenyewe 2015 kura yangu atapata..!!

Kila mtu ana uhuru wa kikatiba kumpa kura mtu anayefikiri anafaa, nakutakia kila la kheri na uzima wewe na wenzako wachache kuelekea octoba 2015, ila KURA yangu na za waTz wengi tunaojitambua na kuipenda hii nchi EL hana. Pia kwani ccm wameshampitisha? Aruke kwanza hicho kihunzi! Alisingiziwa kivipi? Mbona hajawahi kanusha kuwa alisingiziwa au hata kukemea ufisadi unaoendelea nchini??For the record: Moringe hakuwa na tuhuma na hakujiuzuru.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

Lowassa 2015.......no one can RESIST HIM...only God..
 
Hayati Nyerere alisema, mtu anayepataka ikulu kwa udi na uvumba, HATUFAI hata kidogo. Aogopwe kama ukoma.
 
Unajuaje kama ndio ww una matatizo ya akili.....

Sbb kati ya sampling ya watu 100 wanasema anafaa...ww pekee unasema hapana...nani ana matatizo ya akili hapo..!!?? Jibu unalo

Zile zama za 'wengi wape hata kama wote ni wajinga', zimepitwa na wakati. Sampuli ya Watu mia moja kama wewe, ulitegemea jibu gani??
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Kweli rushwa mbaya hadi unamuota Lowassa Usku!
 
Hayati Nyerere alisema, mtu anayepataka ikulu kwa udi na uvumba, HATUFAI hata kidogo. Aogopwe kama ukoma.

Kauli ya kiswahili hiii...Mbona yeye Mwalimu alikaa muda mrefuuu sana hadi miaka 24 Ikulu, TUMIA AKILI WW....UNAMEZA TU KAULI ZA MWALIMU...tafakari, usiwe b.wege...

Anybody mwenye sifa, uwezo na kukubalika na wananchi kama Lowassa anaweza kuwania URAIS...

So hata ww unaweza kukimbilia kuwania urais, na kwenda Ikulu...
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.
Je, ukiota umekufa inakuwaje? Je utaamini kinacho fuata ni kifo? Acha ujinga, ndoto ni taarifa au onyo ambayo inamwitaji yule aliyeota ama akubali au akatae kwa kudumu ktk maombi kwa Mungu wake ili ile ndoto kama ni nzuri itokee na kama ni mbaya basi aombe isitokee, sasa ndugu unakosea kuweka ndoto hapa wewe dumu ktk maombi, ni ushauri tu.
 
Sio kwamba ndoto yako haina maana ila uzi wako umeangalia tu mwelekeo wa wengi wanamzungumzia nani. Siasa na hata serikali haviendeshwi kwa ndoto.
 
Ndg wana jamvi usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikikubwa na ndoto ambayo nimeshuhudia Mh. Lowassa akipita kwa kishindo ktk kura za maoni Dodoma na kuamsha shamrashamra kila kona ya nchi. {Si kawaida yangu kuota wana siasa zaidi ya pilikapilika zangu}. Je ndoto hii ina ukweli? NB: Sitarajii matusi na kejeli.

Hio ndoto sio ya ku*** liwa kweli??? Unamuota mwanaume??
 
Lowassa angekuwa Rais, kilichomuondolea Sifa ni njia anazotumia kuufikia Urais. Zimemuondolea Sifa.
 
Lowassa anaweza kuzunguka ule uwanja wa taifa hata raundi moja tuuuu
 
HATA MIMI NIMEOTA ETI NIMELETA POSA KWENU ILI NIKUWOWE NA POSA IMEKUBALIWA.
Ahhh hata mimi nimeshangaa kama hii ndoto ni kweli au ni ndoto tuu
 
Je, ukiota umekufa inakuwaje? Je utaamini kinacho fuata ni kifo? Acha ujinga, ndoto ni taarifa au onyo ambayo inamwitaji yule aliyeota ama akubali au akatae kwa kudumu ktk maombi kwa Mungu wake ili ile ndoto kama ni nzuri itokee na kama ni mbaya basi aombe isitokee, sasa ndugu unakosea kuweka ndoto hapa wewe dumu ktk maombi, ni ushauri tu.

Mjinga mwenyewe na tumbo lako. Watu wangapi huleta ndoto zao hapa zinazowasumbua. Mimi kuleta ndoto yangu ambayo haina uhusiano na maisha yangu imekuwa ujinga??? Huenda ulizaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa nyambafu we.
 
Back
Top Bottom