Silas Haki
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 368
- 39
Mada hii ingetolewa na mtu mwingine angalau ningeweza kutumia muda wangu kufikini mantiki ya kilichoandikwa. Lakini kwa kuwa imeandikwa na Kashaga ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji kupitia CCM wala hainishitui maana hata siku moja hawezi kulisifia jimbo la Karatu wakati anajipendekeza kwa Mafisadi ili wamteue yeye akagombee karatu au Misenyi 2015. pole sana Kashaga maana utaambulia patupu hata kama utashindanishwa na kivuli cha Chadema.