Niliyoyaona jimboni Karatu

Yeye kama mbunge wa pale kwa miaka zaidi ya kumi alipambana vipi na hizo changamoto? huwezi kujivuna utaliletea taifa neema ikiwa kwako yamekushinda! wako wabunge wanaoweza kujivuna kutatua kero mbalimbali sasa yeye alifanya nini miaka yote?

Ulikwenda mara ya kwanza Karatu lini na hali ilikuwaje kulinganisha na ulichokiona safari hii (kama kweli ulikwenda)?
 
43. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
Mkuu nina wasiwasi na hiyo ahadi.Yetu macho ikifika mods aiweke tena tread hii ili tujue kama imetekelezeka.
 
Back
Top Bottom