Niliyoyaona jimboni Karatu

dawa ya pumba ni pumba ..... vikaragosi mnashida sana .... wivu na chuki vyote vyenu
yeah...very true mkuu

kaja kijinga atapewa hizohizo za kijinga... Sikonge said it all, watu "wamemjua" Kashaga ... unfortunately hakuna anayetaka kuzaa nae
 
Dalili za watu kushindwa kwa hoja ni kuanza kutukana, Kashanga endelea kuwabana bana siku hizi wamenyooka sana.

Ka-shanga, unalifananisha na lile la kiu...ni au? Sioni ajabu ccm kwa ccm wakitukanana, kuzidiana ten pasent
 
Ina maana kashaga anadonolewa sio? yaani wanamcheki sio? i mean wamemjua siyo... eeerr mtoto wa watu ama?

Kama ndivyo basi JF ishapata jibu, maana nasikia watu hao fikra zinawatoka kama ushuzi
 
Hahaaa MTM,

Siyo mie niliyesema.

Kashaga mwenyewe kwa Vidole vyake mwenyewe na Akili zake mwenyewe ndiye aliandika kuwa "LEMA ANAMJUA....."

Mie nimelionyesha tu hilo NENO na kuelewa kwamba kumbe mwenzetu WANAMJUA.

Nafikiri huko aliko, anaJUTA saana kumshambulia Slaa kwa PUMBA.
yeah...very true mkuu

kaja kijinga atapewa hizohizo za kijinga... Sikonge said it all, watu "wamemjua" Kashaga ... unfortunately hakuna anayetaka kuzaa nae
 
sasa hao kina NDESAMBURO,ARF wamewezaje? hata mh Mbowe miaka mitano aliyokaa pale Hai kabla hajagombea urais alifanya mengi sana na ndio maana liweza kuthubutu kugombea uraisi wa nchi hii! na hii ndio sabau wananchi wa hai walimchagua tena kwa kura nyingi! so why slaa hakuwatendea haki wana karatu?

Sijui wewe ndugu yangu kwenda loliondo umepitia njia ipi kama ni hii ya kukatia hapa mto wa mbu ambayo ndio most prefebly bado hujafika karatu mto wa mbu ni jimbo la mondulu, karatu ina afadhali kidogo ukilinganisha na majimbo mengine atleast maji yako almost ktk makao makuu ya kata zote mi binafsi nimekaa karatu nilikuwa teaching practise pale karatu sec ni jimbo ambalo limeadvance sana hata huwezi kulinganisha hata kidogo na mbulu lilikuwa chini ya mh marmo aliyekuwa waziri hata na hanan'g kwa mh mary nagu waziri thats why mbulu cdm wakashinda case study yao ni advancement ya karatu chini ya cdm hata hanan'g waliitaka cdm though matokeo ni utata ila wote wakitazama hatua karatu iliyopiga sasa wewe sijui umeonaje. Sawa sio ka karatu ni mbinguni ila imeendelea ukilinganisha na majimbo mengi yanayoongozwa na mawaziri na vigogo wa serikali
 
Ka-shanga, unalifananisha na lile la kiu...ni au? Sioni ajabu ccm kwa ccm wakitukanana, kuzidiana ten pasent

hapa ndipo akili zako zimeishia? au unataka ...... aje kukusaidia kufikiria?
 
mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?
Kashaga unahoja tena nzuri sana. Tuwe makini sana safari zijazo kumpatia mtu URAIS ambaye hata jimbo limemshinda. Waungwana ,kichwa cha kuku hakistahamili kilemba,, na hii inaweza kuwa hivyo kwa SLAA na wengine hata kama wako CCM.
 
safari ya kwenda loliondo ilinipa nafasi ya kufika jimboni Karatu na kujionea mambo mengi yaliyonivunja moyo na kunikatisha tamaa kabisa juu ya uwezo wa Dr Slaa! nilikutana na msururu wa kinamama wakiwa na ndoo wakienda sehemu za mbali kutafuta maji,pia kwa macho yangu niliweza kuona foleni ndefu sana za maji hii ilithibitisha kuwa kuna shida kubwa ya maji,pia niliweza kuona watoto wengi wa shule wakiwa hawana viatu miguuni,pia wananchi kwa ujumla walionekana wamekata tamaa ya maisha na nyuso zao zilionyesha hivyo! nikajiuliza hili si ndio jimbo la bwana slaa ambalo aliltumikia kwa miaka mingi,sasa kwanini alishindwa kutatua hizi kero za wananchi?? miaka yote alikuwa anafanya nini kama mbunge? kama jimbo dogo hili limemshinda je nchi angeiweza? nilijiuliza maswali mengi sana ambayo nilishindwa kuyapatia majibu kabisa
(Hii ni email niliyofowadiwa na rafiki yangu Mussa Mosha anayemiliki kampuni ya utalii pale Arusha na mfuasi mzuri wa chadema)

unalaana wewe.

mawazo kama yako ndiyo side-effect za dawa ya babu yenu wa Loliondo. wengine walikunywa wakapata ajali wakafa. kila mtu na athari zake...wewe umeathirika ubongo baada ya kupewa kikombe cha babu yenu.
 
Maendeleo ni relative term. Lazima ulinganishe aidha kipindi fulani na kingine au sehemu fulani na nyingine. Sasa Kashaga hali ya Karatu kuwa nyuma ki maendeleo unailinganisha na jimbo gani ambalo limeendelea zaidi ya Karatu? au unataka kusema kabla ya Dr Slaa kulikuwa na maji na hizo huduma nyingine na aliposhika huyo Dr zikaharibika? Maana lazima ujue kuna sheria zinazotawala vyanzo vya mapato, kuna migawo ya kutoka serkali kuu n.k n.k Ikiwa katika wigo huo na limitation zake Karatu wame execel (wametumia vizuri na kubuni) na kujiletea maendeleo zaidi kuliko wengine hata kama hata kama hawajafikia yale ya London au Tokyo bado tutasema huyu angepa fursa zaidi angefanya makubwa. Angali fursa walizo nazo wengine kama Kikwete za kuinfluence sheria zinazotungwa, usimamizi wa matumizi ya serkali, uadilifu wa watendaji, kubuni vyanzo mfano katika migodi nk n.k angekuwa nayo Slaa je angefanya pungufu au zaidi kwa kipimo kile cha fursa alizopata Karatu na jinsi alivyozitumia. Kumbuka katika jimbo Slaa hakuwa mtendaji pekee au mtu wa mwisho katika kila idara na sekta!
 
Kashaga unahoja tena nzuri sana. Tuwe makini sana safari zijazo kumpatia mtu URAIS ambaye hata jimbo limemshinda. Waungwana ,kichwa cha kuku hakistahamili kilemba,, na hii inaweza kuwa hivyo kwa SLAA na wengine hata kama wako CCM.
Kabla ya kumpa Kikwete aliyapima maendeleo ya Bagamoyo??
 
Kama hiyo haitoshi, Mtu na Waziri mhusika, wapo kufungua Bomba la Maji ili akina mama wapate maji kwa urahisi.

Kama BAJAJI vile kwa akina mama Waja wazito...... Heheheee!!!!!

mugumu.jpg

I like this! Halafu amemchotea maji kiduchu! Kweli JF bomba. Unaweka hoja, na mara unapata sio tu kujibiwa bali vielelezo kibao! Asante!
 
Hahaaa MTM,

Siyo mie niliyesema.

Kashaga mwenyewe kwa Vidole vyake mwenyewe na Akili zake mwenyewe ndiye aliandika kuwa "LEMA ANAMJUA....."

Mie nimelionyesha tu hilo NENO na kuelewa kwamba kumbe mwenzetu WANAMJUA.

Nafikiri huko aliko, anaJUTA saana kumshambulia Slaa kwa PUMBA.
ooh sorry, nilisahau kumbe ni yeye mwenyewe amekubali kwamba wanamcheki, dah

Bongo mtu ku-declare kwamba "wanamjua" kazi... huyu lazma kabobea
 


quote_icon.png
Originally Posted by The Prophet
unalalama au unatoa hoja?

kama unalalamika hapa si mahala pake.


thredi yako ikiondolewa usilalamike.

_____________________________________________________________






Hata ikiondolewa mkuu ni vyema na haki yake atakayeiondoa, lakini ujumbe si umefika ndugu yangu? Ya kwamba pale inapoonekana CDM au Kiongozi wake amebanwa kwenye kona, basi hila itumike kuondoa threads na comments ili kuvuruga muamana? Prophet,, elewa kwamba wangekuwa wanaoingia humu ni wenye mlenggo wa CHADEMA pekee, sidhani kama wewe ungeingia mara kwa mara humu. Ni mchanganyiko wa mawazo na hoja tofauti ndizo zinazoleta ladha kwenye forums kama hii. Sasa wakibaki CDM peke yake itakuwa vipi? Kwa hiyo tujenge utamaduni wa kutoogopa kukosolewa, naamini humuhumu JF ndimo tunao viongozi bora wa kesho. Tupokee challenges na si kuzifuta na kuzikimbia. Ni sawa na mtoto mdogo kufumba macho eti akidhani kajificha humuoni.
Nimeyaona yanayotendeka humu,, na kunitishia eti thread yangu itafutwa, si tata, wala si tatizi. Nimefikisha ujumbe.
 
Binafsi sioni tofauti ya hali inayowakabili wananchi wa jimbo la Karatu na wenzao wa jimbo la Lulindi. Nenda kaone hali ngumu ya maisha mikoa au ktk majimbo ya kusini mwa nchi yetu. Utalia bure bila kuhitaji fidia ya machozi. Kusini jamani kusini.. nini Karatu? Si bora hao wa Karatu wanaishi kwa matumaini? Nenda kusini we bwana mtoa mada tafadhali.
 
....mix with yours Kashaga....kila nitakapokuwa na-reply thread yako daima nitasisitiza kwamba unatumia brain iliyopo mata..ni au nyayoni. Mosi; umeambiwa bila kufikiri ukairusha moja kwa moja (rafiki yako anajua kwamba ni uongo ndio maana hakuweka kwenye mitandao ya kijamii). Pili, hata kama hujawahi kufika Karatu, ungechukua japo Atlasi uangalie ukienda Loliondo unapitia njia gani kutokea Arusha mjini. Tatu; nimeshafika Karatu mara 4 na kuishi si chini ya wiki 2 kwa kila safari, Karatu ni moja ya majimbo ya kuigwa kwa maendeleo yaliyoletwa na wanajimbo wenyewe wakihamasishwa na m'bunge wao so among the problems clearly solved ni maji safi na salama labda kama siku hiyo kulikuwa na technical problem ya water supply. Nne; Nyerere, Mkapa, Mwinyi na Kikwete walifanya maajabu gani kwenye majimbo yao hata kupewa dhamana ya kuongoza nchi nzima?
 
Pita na singida dungunyi ujionee,njoo msoga kwa jk,nenda muleba kaskazini uone maajabu pia usiende kusini maana kashaga utalia na kusaga meno,yan serikali zilizopita zimenyonya kweli kweli. Kumbuka dr.slaa hajawai kuunda serikali yake,bora umeleta mada wakati bado tuna adui ccm! Nakushauri upite 2015 wakati ambao cdm itakuwa imeunda serikali nyingne mpya,ndo utaona maendeleo. Kashaga,nenda pale Hananasifu shule utalia,watoto wakaa chini ktk commercial capital city of Tanzania,ni hajabu!
 
huyu kashaga anajulikana.......Muongo mkubwa na mchochezi,,,,hajafika hata loliondo!

muulizeni kwa nini hawakunadamana juzi kama vijana wapenda aman?
 
mimi siwezi kuwa mnafiki jimbo langu ni la moshi mjini ambalo nimeishi zaidi ya miaka 20 sasa,lakini ki ukweli ndugu Ndesamburo amefanya mengi sana pale na ndio maana unapokuja uchaguzi tunaweka vyama pembeni a kumchagua huyu mzee kwani yeye kama mbunge amefanya mengi sana na hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuonyesha aliyofanya mzee Ndesa si kwenye maji tuu,Ndesa kasaidia,mashule,barabara,hospitali,masoko,michezo etc,sasa Slaa yeye kwanini jimbo lake liko kwenye hali duni hivi,miaka yote alikuwa anafanya nini?

Huo ni unafiki,mimi ni mwana karatu na tumepata mabadiliko makubwa sana ya kimaendeleo elimu na maji. Hatukuwa na mabomba lakini dr. slaar aiteta, hata pale wafuasi wa ccm walipoya bomoa , aliyarudishia. Acha mambo ya kusikia kashanga, njoo kwetu uone mwenyewe tukueleza hali ilivyokuwa kabla ya dr. slaa na leo hali ilivyo!
 
au weka hata picha...maana memba wote wa jf waliofika kule walileta picha kibao....

makamba amekuharibu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom