Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

Nawakilisha

Ni mtu ambaye anajijua tofauti na alivyo nikimaanisha alivyosema yeye anaiongoza hii nchi kwa democrasia na yeye sio dicteta wakati ni bora dicteta kuliko yeye anayejifanya sio dicteta wakati ndiye
 
Nimejifunza kuwa Rais wetu mpendwa anawapenda sana wa-tz na kuruhusu uhuru wa kujieleza kupita kiasi! ingekuwa nchi nyingine hawa wavuruga amani tungeshawasahau!!

Anawapenda?? kwenu Singida vijijini si bado mnaishi kwenye tembe (nyumba za kuezekwa kwa udongo),kwa hio na nyie mmejitakia kuendelea kuwa na maisha hayo?
 
kwanza on hiyo Dr. kwenye thread yako. Ni makosa kuanza na Dr. ikiwa hiyo ni shahada ya heshima.

Ni kweli kwani hajaiangaikia kama wenzake Dr. wa ukweli slaa, Jk alikimbia umande akafikiri udokta unakuja kiivyo
 
kwa kweli leo,amevunja rekodi ya ujinga......eti hakuna wanovaa kaniki,wala hakuna tena watu wanaoishi kwenye nyumba za makuti...wanaofanya hivyo ni kwa kupenda....OMG

Du inamaana yeye akitoka ikulu kaenda kupanda ndege kwenda kutalii tu? Ata hali ya wanchi wake haijui amaa kweli hala moja haikai sime mbili
 
Sitakosea na sitajutia kusema `KAANZA KUTOKA KWA MIGUU BADALA YA KICHWA` nikimaanisha hana adabu
 
kwanza on hiyo Dr. kwenye thread yako. Ni makosa kuanza na Dr. ikiwa hiyo ni shahada ya heshima.

He should be addressed as "Lt-Col." Ila huyu mtukufu wetu amezoea vya kupewa, hata huo u''lieutenant-colonel'' alipewa (siyo mpiganaji), gpa ya 2.0 UDSM alipewa, Dr za heshima amepewa pewa tu , etc.
 
Rais ameongea mambo mengi ya msingi. Kama kweli huu ni ukumbi wa Great Thinkers basi tujadili mambo aliyozungumza. Tunakubaliana au tunatofautiana naye wapi? Vinginevyo mtakuwa mnaongea watu waliodhaminiwa na Cameroon na kutetea na kushabikia ujinga wake. Kwanza wengine mnatumia alias zaidi ya moja na kujifanya watu tofauti. Kazi kweli kweli!
 
All i want to know Fauzia na Ritz1 wamepotelea wapi kwa sasa au ndi ule wimbo mshua imenuka.Shame on you hamkujua mnatetea nini
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

Nawakilisha
 
Sijawa sikiliza hotuba zake au kuisoma mahali popote.
Natambua uwezo wake.
Nilishawai kuta jamaa zake wahandaa hotuba zake bar wanajadili nini wamwandikie wakiwa bar.
Tangu hapo nibora kufungulia wanangu picha za katuni sitaki na wanangu wamfahamu huyo jamaaa.
 
Halafu anazungumzia Euro Crisis wakati hakuna Euro Crisis bali kuna Debt Crisis yaani sijui hizi information za uongo katoa wapi hata mtu ambaye hajui mambo ya uchumi hauwezi kumdangaya uongo mweupe kiasi hiki its a shame
 
Back
Top Bottom