Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

Huyo dr kikw.te ni rais wa nchi gan kwan jaman,maana wengne hatumjui?
 
Alipata GPA ya 2 mpaka 2.5? Wewe una matatizo kuliko hata unayemjadili. Hivi pale UDSM wale wanaongoza pale ni maprofesa. Wana nini cha ziada na GPA zao kubwa. Tatizo la Tanzania sio elimu za viongozi wetu. Hata mtu mwenye GPA ya 5 awe Rais linaweza lisitokee Jipya. Sisi tunachagu Watawala na wala sio viongozi.
Sheikh! ukila pilau ya wenye nayo, nawe kubali kuliwa:View attachment 41577
 
Amekariri ufisadi kwa kusaini mikataba fake,leo badala ya kusema atasaini mswaada wa katiba yeye kasema mkataba!ama kweli tumeukwaa mkenge
 
aliwahi kuongea na wazee wa Mwanza hivi:...hakuna mkazi wa Mwanza anayekula mifupa ya samaki a.k.a mapanki...wazee wakaitikia ndiyooooo...!wakati mapanki ndiyo mboga yetu. Nadhani anayeandika hotuba zake ni masabuli au anayezisoma ni...(wabudha hatusemi matusi)
 
Huyu ni Rais wa nchi ni lazima azungumze kwa maslahi ya taifa. Mchakato wa katiba ni lazima upitie kwake kwa mujibu wa katiba ya sasa, hakuna jinsi.
 
Jaman nawaombeni mjadili hoja za Dr. Jk na siyo kumjadili yeye vinginevo tutafanana na walokuwa wanajadili Tundu na cdm wakauweka mswaada.
 
Ameshuka na uchumi akamalizia na katiba na lugha alitumia kiswahili lugha ya taifa. naomba maswali tafadhali nijibu kwa wale walioachwa ferry
 
kuna wakati marais wakiongea hawaeleweki kwa wepesi inahitaji kuzama kwenye fikra zake ili ziingie ndani ya fikra zetu ndio maana alichaguliwa kuwa rais kwa sababu alionekana anaweza kuwaongoza wengine kwa kufikiri kwa upana
 
hivi wale walioitwa na Rais ni wazee wa DSM au wazee wa CCM?

wale ni wazee wa ccm...
Ila du kama mheshimiwa anaishia kusema,wenye nyumba za makuti wamejitakia,sijui kama kweli anajua hali halisi ya life ya watz!
 
Sijamsikia, naomba kesho kwa ubani na uvumba nimsikilize mwenyewe maana kusikia ya watu mhhh.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom