Nilivyomjua Dr JK Baada ya Hotuba kwa wazee wa Dar

Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

Nawakilisha

Ati katoa Uhuru wa Maoni, Uhuru kautoa yeye au upo kikatiba? kIKWETE anashindwa Kutambua kuwa miaka ya nyuma watu hawakuwa na uwezo mzuri wa kufikiri, tulikuwa na wasomi wachache na sasa watu wanajua haki zao?

Kwani ni lazima acopy na kupaste staili ya Mwinyi na Mkapa ya kurekebisha Katiba? Lazima asisimamie yeye? Kama ametoa uhuru anaojitapa nao anaona woga gani kuacha kukalia uundwaji wa katiba? Kuna muda napata kichefuchefu sana nikimsikiliza!
 
kwa kweli leo,amevunja rekodi ya ujinga......eti hakuna wanovaa kaniki,wala hakuna tena watu wanaoishi kwenye nyumba za makuti...wanaofanya hivyo ni kwa kupenda....OMG

Hapo ndio aliniacha hoi! Nikajisemea pekeyangu kuwa hiyo watoto wanaosoma katika shule za mbavu za mbwa na wale wanaofanyia mtihani uwanjani wakiwa wamekaa chini nao wanafanya hivyo kwa kupenda wenyewe?
 
Ati katoa Uhuru wa Maoni, Uhuru kautoa yeye au upo kikatiba? kIKWETE anashindwa Kutambua kuwa miaka ya nyuma watu hawakuwa na uwezo mzuri wa kufikiri, tulikuwa na wasomi wachache na sasa watu wanajua haki zao?

Kwani ni lazima acopy na kupaste staili ya Mwinyi na Mkapa ya kurekebisha Katiba? Lazima asisimamie yeye? Kama ametoa uhuru anaojitapa nao anaona woga gani kuacha kukalia uundwaji wa katiba? Kuna muda napata kichefuchefu sana nikimsikiliza!
Nimefikiria sana nikaishia kufanya conclusion yangu kuwa ni mara mia hata asingeongea leo he was just pissin me off
 
kuna mfaransa mmoja ametua tz kwa mara ya kwnza kuja kufanya utafiti kwa nn? Wtz wng ni wajinga.mi nkamuliza umejua si ni wajinga akaniambia jamaa zenu wanakujaka kule kila mara.sasa km hauo mnao watuma wko n hali hiyo nlitaka kuona hao wanaishi vijijhn
 
Alipata GPA ya 2 mpaka 2.5? Wewe una matatizo kuliko hata unayemjadili. Hivi pale UDSM wale wanaongoza pale ni maprofesa. Wana nini cha ziada na GPA zao kubwa. Tatizo la Tanzania sio elimu za viongozi wetu. Hata mtu mwenye GPA ya 5 awe Rais linaweza lisitokee Jipya. Sisi tunachagu Watawala na wala sio viongozi.

Avator yako inaelezea vizuri alichokiongea JK (the traveller) leo
 
Huyu ni Rais wa nchi ni lazima azungumze kwa maslahi ya taifa. Mchakato wa katiba ni lazima upitie kwake kwa mujibu wa katiba ya sasa, hakuna jinsi.
Hilo ndilo moja ya lalamiko kuu la upinzani kwamba katiba iliyopo ni mbaya haimpi mwananchi wa kuamua aina ya ktiba anayo itaka na ndio maana CDM walitoa wazo kwanza kuwa ni lazima uifanyie marekebisho katiba iliyopo hivi sasa ili kuwapa wananchi sauti ya mwisho ili kujenga uhalali wa katiba mpya na CCM walilikataa hilo kwa maana hawana nia ya kweli ya kuunda katiba huru inayotokana na mawazo ya watu wanataka
kukontrol process nzima ili wao ndio wawe na kauli ya mwisho badala ya wananchi.
 
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

Nawakilisha
GPA ya hao unaowaani ni ngapi? Shallow minded.
 
Mkuu,ndo unajua leo, Pole sana, yani hukumstukiaga tokea asme kuwa Wanafunzi kupata Mimba ni vihere here vyao...
Yan leo nilivyoingia ndani nikakuta Mwanangu kafungulia TV na mkwer.e anaongea, nikaharibu siku kabisa, Kidogo nitembeze stick Ndani
 
naona mjeda anaona kila kitu kinaenda sawa.haongelei kabisaaaaaa kamkono karefu
 
Alichosema kuhusu mfumuko wa bei, kama sio uongo kwa kuwadanganya wazee basi rahisi wetu ana matatizo makubwa sana kifikra. Mfumuko wetu wa bei upo chini kuliko hizo nchi nyingine, sawa, vipi kuhusu raslimali tulizo nazo kulinganisha na hizo nchi nyingine? Raslimali tulizo nazo haziwezi kupungunguza huo mfumuko wa bei? Huo uchumi aliusomea wapi mtu huyu? Maprofesa waliomfundisha bado wapo hai, kwa nini wasimnyang'wanye hiyo digirii yake ya uchumi?
 
Ndugu zangu, Leo baada ya kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza Mh Dr JK nimepata kumfahamu zaidi na namna anavyoendesha nchi yetu.

1. Raisi wetu ana ''below average thinking capacity'' kama sitakosea masomo yake ya degree ya kwanza alipata GPA ya 2.0 hadi 2.5.

2. Dr JK anaongoza hii nchi kwa kutumia madesa na hii ni hatari sana maana hafikirii kufanya tofauti na kilichofanywa nyuma hata kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mwenye mengine unakaribishwa kushusha....

Nawakilisha

Afadhali na wewe umejua leo; wengine tulishajua siku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom