Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
Habari zenu wapendwa wa MMU!!!
Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:
Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jina
Msichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................
Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................
DA