kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
Nilijiunga hapa mwezi wa kwanza mwaka 2011.Ndani ya mwaka mmoja nimejifunza mengi ya faida na hasara pia.Nimepata marafiki,
nimehabarishwa habari nyingi ambazo pengine nisingeweza kuzipata kupitia vyombo rasm vya habari.Ufaham wangu wa maswala mabalimbali ya kisiasa na kijamii umeongezeka.Lakin pia nimejifunza misamiati mipya ya kiswahili ambayo kabla sijajiunga na JF nilikuwa siifamu,mfano "masaburi,uvinza" na mengine ambayo hubuniwa na na ma-GT wa JF.baada ya kusema machache,napenda kuwataka radhi wale wanajf wenzangu (kama wapo) ambao kwa namana moja ama nyingine tulipishana lugha ktk threads nilizochangia kwa mwaka 2011 .Tuufunge 2011 kwa Aman.