Nilichovuna JF 2011.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,456
20,709
Nilijiunga hapa mwezi wa kwanza mwaka 2011.Ndani ya mwaka mmoja nimejifunza mengi ya faida na hasara pia.Nimepata marafiki,
nimehabarishwa habari nyingi ambazo pengine nisingeweza kuzipata kupitia vyombo rasm vya habari.Ufaham wangu wa maswala mabalimbali ya kisiasa na kijamii umeongezeka.Lakin pia nimejifunza misamiati mipya ya kiswahili ambayo kabla sijajiunga na JF nilikuwa siifamu,mfano "masaburi,uvinza" na mengine ambayo hubuniwa na na ma-GT wa JF.baada ya kusema machache,napenda kuwataka radhi wale wanajf wenzangu (kama wapo) ambao kwa namana moja ama nyingine tulipishana lugha ktk threads nilizochangia kwa mwaka 2011 .Tuufunge 2011 kwa Aman.
 
Daah sasa mi wa 2006 sijui nisemeje...
duu nyani wewe ni mkongwe.kama sikosei orodha ya marafiki itakuwa kubwa lakin haitazid ile ya maadui ambao unazinguana nao kila mara.nasoma sana michango yako na cku zote wao wakienda kulia wewe unaenda kushoto.saaf sana kaka.
 
jf ni nzuri inaondoa stress,
toka nimejiunga pressure na sukari yangu viko normal kila nikipima,
hivyo namshukuru MUNGU sana kwa hilo, jf ni zaidi ya unavyoifahamu.
 
Mimi nafurahia tu maendeleo ya chama changu..Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi kusonga mbele.
 
Nimekuwa stress less
nimepunguza kestolait
kwa ajili ya ubuzy humu jf
na wigo wangu umeimprove kimtindo
nimejua upupu mwingi
wa rangi ya kijani na njano.na mambo chungu kibao viva jf
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom