Inawezekana kabisa staili ya uandishi wa Maggid ndio inayotupa shida mimi na wewe kiasi cha kuona kuna maswali ambayo hajayajibu kama nilivyoonesha mwanzoni.Ndugu yangu usijifanye wewe ni mgeni hapa JF ni tangu lini Maggid amewahi kujibu maswali magumu hapa JF? yeye amezowea kuitwa mwenyekiti na misukule wenzake kule kwenye blogu yake ya kishirikina hapa anapwaya na wala si sehemu yake.
Katika makala ya leo Maggid ametauacha na shauku ya sisi kutaka kujua zaidi kama vile mwandishi wa riwaya afanyavyo na ndio maana tunam bombard ili angalau afunguke na atiririke lakini niwajuavyo waandishi wa namna hii hatatokea na atuacha tukilumbana na kama tuna uwezo twende nasi Nyololo tukaone alichokificha Maggid.
Jumapili njema comrade.