ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Mkuu ZeMarcopolo, read him in between the lines utamuelewa, mbona mimi nimemsoma mara moja tuu, nimemuelewa!.
Mkuu sana Pasco kuna kuelewa na kuamini kuwa tumemuelewa. Uandishi wa kuacha maswali mengi na kuruhusu majibu yote kuwa sahihi si wa karne hii. Maggid anaogopa kuwaambia ukweli wale anaotaka kuwapa ujumbe, why? mbona akitoa ujumbe kwa "upande wa pili" huwa anakuwa straight forward?
B.t.w mkuu Pasco leo ukienda church usisahau kuiombea nchi yetu amani.
Jumapili njema...
Last edited by a moderator: