Niko dillema, mchumba wangu ni mchawi!!!

Unaona? Kwenye post kuu umesema tu maelewano mabaya hukusema kuogopwa funguka bana.
nafikiri umenipata vibaya rafiki yangu, katika maelezo ya mwanzo nilisema mahusiano duni na majirani na mengineyo, sasa hayo mengineyo ndo pamoja na kuogopwa.
 
kitty galore, unasahau kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka? Kama hizo taarifa ni za kweli kwa mama yao alimuua baba siku nikimweka ndani zamu ya kufa itakuwa ya nani?

Man ukiwasikiliza wahenga kamwe hutokuja kuendelea .. take your chances ulivyomsifia hata mimi nadhani huyo mtoto si haba ni mzuri
 
SH leo umelikorogoa hiyo title na humu ndani havina hata chembe ya uhusiano kabisa...................................Uchawi watokea wapi hapo??..............Acha longolongo..........................hao wanaokwambia ni wachonganishi na walikuwa wanamtaka huyo msichanaKwani mtu akifa ndo karogwa??
mh ndugu yangu, nimempata mtt afu yanazuka maneno kama hayo, hata we ungeacha kuogopa?
 
wasalaam MMU!

kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!

na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!

Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!

Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?

Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.

ahsanteni.

mkuu kwanza hapo red sijaelewa what did u min? Pili mkuu mie nitakupa mfano mmoja tu sie tuliokulia vijijini....mama angu mzazi kabisa alisemwa ni mchawi sababu eti hakupenda kukaa na wanawake wenzake muda wote(I mean hakupenda majungu), watoto wake i mean kina mimi, dada zangu na kaka zangu hakuna hata mmoja aliewahi kufariki ila majirani walifariki....mkuu oa mke huyo wivu wa majirani zake usikutie WAZIMU......
 
Na wewe kuwa mchawi muendane nae tena wewe ndio uwe kiboko yake unaruka na ungo hata mchana ili akuogope na yeye then mna reconcile.
 
hv uchawi ni nini? Nani kauona? Nani kathibitisha kwamba huu ni uchawi? Na hao waliojua kuwa huyo binti kwao wachawi walijuaje? Maana daktari anamjua daktari mwenzie, mhasibu anamjua mhasibu mwenzie, wachawi je?
so hakuna uchawi?
 
ina maana hujiamini unamtafutia visa vya kitoto.........kwani huwezi kumweleza sikupendi tena na uhusiano ukaisha kama unaogopa kumweliza hayo maigizo ya uchawi
nimeambiwa nikijaribu tu kuachana nae bila sababu ya msingi atanimaliza.
 
mkuu kwanza hapo red sijaelewa what did u min? Pili mkuu mie nitakupa mfano mmoja tu sie tuliokulia vijijini....mama angu mzazi kabisa alisemwa ni mchawi sababu eti hakupenda kukaa na wanawake wenzake muda wote(I mean hakupenda majungu), watoto wake i mean kina mimi, dada zangu na kaka zangu hakuna hata mmoja aliewahi kufariki ila majirani walifariki....mkuu oa mke huyo wivu wa majirani zake usikutie WAZIMU......
thanks alot
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom