Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 98
- Thread starter
- #81
hapo nitakuwa nimetangaza vita, akikuta picha yake neti si itakuwa balaa? Hapa mada nimeileta kwa jina ambalo sidhani ka alishawahi kulisikia mahali.Weka picha kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo nitakuwa nimetangaza vita, akikuta picha yake neti si itakuwa balaa? Hapa mada nimeileta kwa jina ambalo sidhani ka alishawahi kulisikia mahali.Weka picha kwanza
hahahahahaaaaaaa!!! Matibabu yao?ndio waathirika wa nguvu za giza. Usiwanyanyapae.
tiba yao ni kuwapenda bila uoga.hahahahahaaaaaaa!!! Matibabu yao?
Napita tu kukusalimu naona mambo ya via mobile ni historia sasa.tiba yao ni kuwapenda bila uoga.
hahahaha! Via mobile daily mwenzio. Naandaa form ya mchango wa moderm. Lol.Napita tu kukusalimu naona mambo ya via mobile ni historia sasa.
Hii nilichelewa kuiona yote uliyozungumza ni kuhusu mama sijaona kosa la kisura wetu Wayre,nakuaminia mkuu hapa vijana wa street wanataka kukupiga bao la kisigino akili kumkichwa mkitembea mkishikana mikono na Wayre.wasalaam MMU!
kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa maarufu sana ktk mkoa wetu wa Arusha.
Mtoto mwenyewe si haba, mtoto mweupeee!!
Mtoto wezereee!!
Mtoto unywele!!
Mtoto smile!!
Mtoto meno meupeee!!
Mtoto mguu!!
Dahhhh!!
na kiukweli nilikuwa nikipita nae kila mahali masela nilihisi kama kuna ka uhasama mfali, kina dada walininunia bila sababu kisa kuwaambia ukweli kuwa my hny yre(wayre nilipenda kumwita hivo) kauteka moyo wangu na naahidi kumpenda kwa dhati!!!
Looo! Kuna taarifa ambazo nimeanza kuzipa kutoka kwa marafiki zangu wa mtaani kwao kwamba ile familia ni issue, mama wao aliwahi kumuua mumewe na 7bu zingine kibao zikiwa ni pamoja na kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume majirani zao!!
Sasa mi nitafanyeje? Kama hizi taarifa ni kweli nikijifanya naendelea nae nitaishia wapi?
Naombeni ushauri wenu wapenzi wenzangu wa jf hasa MMU.
ahsanteni.
nilidhani ile ahadi ya kompyuta kwa kila mtanzania imeanzia kwako lol!hahahaha! Via mobile daily mwenzio. Naandaa form ya mchango wa moderm. Lol.
mmh! Tunaanza kupewa vyandarua halafu vyupi. Kompyuta hadi mwaka 3011.nilidhani ile ahadi ya kompyuta kwa kila mtanzania imeanzia kwako lol!
vyandarua vyenyewe vimegundulika kupunguza fertility tumia visivyo na dawa na vyupi si vimepitwa na wakati hahaha!mmh! Tunaanza kupewa vyandarua halafu vyupi. Kompyuta hadi mwaka 3011.
2napewa zile vyupi zinafichwa na t.a.k.o. Lol.Hivi tupo jukwaa gani?vyupi si vimepitwa na wakati hahaha!
Vile mpaka sijui ufanye nini ndio uvione hahaha! usihofu upo jukwaa sahihi MMU.2napewa zile vyupi zinafichwa na t.a.k.o. Lol.Hivi tupo jukwaa gani?
hahahahaha! Mi pia cjui, ngoja tumuite mtu atufundishe.Vile mpaka sijui ufanye nini ndio uvione .
b.i.k.i.ni????????2napewa zile vyupi zinafichwa na t.a.k.o. Lol.Hivi tupo jukwaa gani?
Zinaitwa thong,bikini ni zile za kuogelea.b.i.k.i.ni????????
Usimwite mtu usiku huu tutahangaika wenyewe usijali,kwenye taarab wanasema 'ye aweze ana nini,we ushindwe una nini' lol!hahahahaha! Mi pia cjui, ngoja tumuite mtu atufundishe.
watoto hawajalala bado, usiongee matusi.b.i.k.i.ni????????
akaa babu wewe, taarab ya mabonge mi sio bonge. Hahahaha! Nipo kwenye course ya mipasho, vipi naweza weza eeh?Usimwite mtu usiku huu tutahangaika wenyewe usijali,kwenye taarab wanasema 'ye aweze ana nini,we ushindwe una nini' lol!
ukija dar ntakupeleka ukamwone Mzee yusuf siku hizi anatumbuiza maisha Club jumatano sio uswaz.akaa babu wewe, taarab ya mabonge mi sio bonge. Hahahaha! Nipo kwenye course ya mipasho, vipi naweza weza eeh?