GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA NA VAZI REFU??
Mwenzanu nikivaa nguo ndefu nawashwa sijui wenzangu amuwahshwi??hii n kauli ya msanii lulu akiuliza watu wanaovaa nguo ndef wana nini yeye anawashwa mapaja na makalio akiwa na vazi hilo la kiheshima
kwenu wana jamiiiio
Dogo hasomi hukuckia interview alofanyiwa teacher wake na clouds bt my advise kwake amkumbuke mwenziwe MAINDA alobadili dini kisa dini inamwambia avae nguo zenye kuficha maumbile yake na ss amepotea kwenye sanaa na asisahau kuwa cc wa AFRIKA na hizo co tamaduni zetu au wana JF haka katoto hakina wazazi{yatima}me nikifundishe
Lulu, jickie huru! Feel free! Kama ni tabia yako ya kugawa utagawa tu hata kama ukivaa nguo ndefu.
By the way, mie naona unapendeza. Sioni ajabu, basi tu tamaa za watu. Hakuna cha biashara matangazo wala nini! Vaa vazi ambalo utajickia comfortable dada.
Mwenzanu nikivaa nguo ndefu nawashwa sijui wenzangu amuwahshwi??hii n kauli ya msanii lulu akiuliza watu wanaovaa nguo ndef wana nini yeye anawashwa mapaja na makalio akiwa na vazi hilo la kiheshima
kwenu wana jamiiiio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.