Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
lulu2.jpg


GAZETI LA GLOBAL PUBLISHER HIVI KARIBUNI LIMEJULISHWA NA MSANII LULU AKA MAMA MAUCHI KWAMBA SI YEYE BALI AKIVAA NGUO NDEFU MAPAJANA MAKALIO YANAWASHWA..KAZI KWAKO WEWE UNAWASHWA NINI UNAENGANGANA NA VAZI REFU??
 
  • Thanks
Reactions: no9
Mwenzanu nikivaa nguo ndefu nawashwa sijui wenzangu amuwahshwi??hii n kauli ya msanii lulu akiuliza watu wanaovaa nguo ndef wana nini yeye anawashwa mapaja na makalio akiwa na vazi hilo la kiheshima
kwenu wana jamiiiio
 

Attachments

  • LULU2.jpg
    LULU2.jpg
    69.5 KB · Views: 2,172
Hana ishu huyo ni kumpotezea maana anaona sifa na viguo vyake kumbe anajidhalilisha tu.
 
hv huyu dogo anasoma? kama anasoma yupo level gani maana naona anauza uso tu na anaelekea kuzeeka....
 
Dogo hasomi hukuckia interview alofanyiwa teacher wake na clouds bt my advise kwake amkumbuke mwenziwe MAINDA alobadili dini kisa dini inamwambia avae nguo zenye kuficha maumbile yake na ss amepotea kwenye sanaa na asisahau kuwa cc wa AFRIKA na hizo co tamaduni zetu au wana JF haka katoto hakina wazazi{yatima}me nikifundishe
 
Lulu, jickie huru! Feel free! Kama ni tabia yako ya kugawa utagawa tu hata kama ukivaa nguo ndefu.
By the way, mie naona unapendeza. Sioni ajabu, basi tu tamaa za watu. Hakuna cha biashara matangazo wala nini! Vaa vazi ambalo utajickia comfortable dada.
 
Mwenzanu nikivaa nguo ndefu nawashwa sijui wenzangu amuwahshwi??hii n kauli ya msanii lulu akiuliza watu wanaovaa nguo ndef wana nini yeye anawashwa mapaja na makalio akiwa na vazi hilo la kiheshima
kwenu wana jamiiiio

Vaa tu nguo fupi usiwashwe mdogo wangu...

 
Ni wakati wake jamani, akikua ataacha. mwoneni alivyopendeza, LOL.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom