Nikivaa nguo ndefu nawashwa mapaja-msanii lulu

el toro tuwekee nyingine hasa zile za chumbani....katoto katamu kweri kweri
 
165523_187953291234765_100000602853028_580725_7351981_n.jpg
165523_187953294568098_100000602853028_580726_7307339_n.jpg


MSANII anayezidi kungara kwenye filamu mbalimbali Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu', amedai kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi kwa sababu akivaa nguo ndefu anawashwa. Akizungumza na Ijumaa juzi ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, Dar es Salaam, Lulu alisema kuwa, hiyo ndiyo sababu kubwa ambayo inamfanya kila anapotoka avae nguo hizo za kihasarahasara.
"Yaani huwezi kuamini, nikivaa nguo ndefu, basi siku hiyo nitajikuna sana maana nitawashwa mwili mzima, kuanzia kiunoni, hasa mapajani kuelekea miguuni," alisema msanii huyo na kuongeza:
"Ujue kuvaa kwangu nguo fupi siyo kwamba naiga kwa watu wengine, tangu nikiwa mtoto nilikuwa navaa hivyo na ndiyo maana kubadilika ni ngumu kidogo."
Lulu ni msanii wa kike mwenye umri mdogo ambaye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kutokana na tabia yake ya kuvaa nguo fupi....


100_2371.JPG

My God!!, First born wangu ana umri wa mwezi mmoja sasa inabidi nijikite sana kwenye maombi, inaonyesha wazazi wa huyu bint wapo frustrated kwasasa
 
Kafie jehanum haka ka malaika ka shetani!!! Hivi bado hakajafungwa tu? [HASHTAG]#RohoMbaya[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom