Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.
 
Safi sana waeleweshe hao wabishi kama wako toilet na nchimbi ndiye prime minister kwenye serekali 2015
 
Bro naona umeamua kunichafulua siku mapema, hebu aje na alichokifanya tangu achaguliwe coz mauaji hayakomi na bado anajigamba. Anyway yawezekana yy ndio ana unafuu kati ya kina Kalamagi na yule alieenda kuchukua Furniture kwa office baada ya kutoswa Ubunge na hatimae kulazimika kutema uwaziri.
 
Mhhh Nchimbi awe Waziri Mkuu? mbona hata hafananii acheni utani na hii Nchi
 
Safi sana waeleweshe hao wabishi kama wako toilet na nchimbi ndiye prime minister kwenye serekali 2015
Kupitia chama gani, kwa mauaji haya hata kuiba kura kimiujiza CCM hawataweza kwani hata shetani ashawakimbia.
 
Kapotolo hauna haja ya kuumiza kichwa juu ya dharau za nchimbi na mwema hapo kuna mkoo toka magogoni kwani huu mchezo unaonekana umepangwa na wana ccm kwani hata vikao vya chama siku hizi vinafanyikia ikulu,,,ikulu imeshushwa thamani mkuu imekua kama kijiwe cha washkaji wakina mkama,nape na magamba mengine yakijisikia kufutulu na kufanya vikao pale yanakwenda tu,,,,huu nio mwendelezo wa kutaka kukiua chadema kikwete alikikebei ni chama cha msimu lakini leo koinamnyima usingizi hata ushindi wake ulikua wa kubenwa 2010 kwa hiyo sasa anaona bora watumie polis kuua na mateso kwa wanaharakati kama ulimboka na mwangosi walishasema wakina pinda liwalo na liwe na sasa yanakuwa.....ccm wameinngiza silaha kinachofuata ni machafuko hii rasharasha tu.......
 
Hii ni dharau iliyopotiliza. Ameonyesha jinsi gani serikali hii isivyokuwa tayari kuwajibika. Hii dhana ya uwajibikaji haipo kabisa kwenye hii serikali ya Tanganyika.
 
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.
mkuu labda kukupunguzia hasira naomba uelewe hivi. Namba kubwa kabisa ni 0 (zero) pia zinazofuatia either ni negatives au positives.
Kutokana na mfano huo ni kuwa Tz akili ndogo inatawala akili kubwa na unaweza kujua 0 iko wapi kati ya hizo mbili.

Hapa kwa mtazamo wangu,wanaopaswa kulaumiwa ni wale waliokuwa kwenye eneo la tukio.
 
Waziri nchimbi amekosea sana ambapo hadi kwenye PRESS CONFERENCE analeta siasa badala ya kuongea facts,kweli jamaa ni mzuri kwa hilo hatukatai ila hata walioiharibu nchi ni waadilifu na wasomi kama yeye,so asijione kwamba TANZANIA haina watu,..kwanza hilo ni tusi kwa chama chake na watanzania wote kujifanya yeye mungu mtu.....nchimbi is just a guy who is so vain that he want to be remembered down the history as a great settler of all questions,...AND HIS SPEECH is of advanced IGNORANCE
 
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.

Wingi wa nywele na ukubwa wa kichwa sio kigezo cha uwezo wa mtu kufikiri au urefu wa kisima cha busara! tumsamehe ni wale wale kina Wassira, Makamba, Manyanya, Nape nk. nk. quite disgusting!
 
Mtapata wapi waziri kama mimi??? hivi yeye anajiona bonge la waziri? ''chafya'' ajiuzulu tu hatutai waziri sie.... hii nchi inajiongoza yenyewe Raisi tu hatuna nini Waziri!
 
Ati hatutopata ninui....Waziri? Mtu aliyeweza kufoji PhD KAMWE HASTAHILI HATA KUWA MNYAPARA GEREZANI (that is kama atafungwa)​
 
mkuu labda kukupunguzia hasira naomba uelewe hivi. Namba kubwa kabisa ni 0 (zero) pia zinazofuatia either ni negatives au positives.
Kutokana na mfano huo ni kuwa Tz akili ndogo inatawala akili kubwa na unaweza kujua 0 iko wapi kati ya hizo mbili.

Ndugu yangu Lukindo sasa nimemuelewa vizuri mchungaji Msigwa. Huyu jamaa aliwatishia waalimu wa Mzumbe wakamhalalishia PhD yake feki, leo ndiyo anatufanya watanzania wote ni wajinga sisi. Huyu jamaa hafai hata kwenye siasa za kawaida, maana anaropoka vitu vya kijinga na kuonyesha dharau yao mbayaaa.
 
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.

My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.

Ndo matatizo ya minyoo kuanza kushambulia ubongo.
 
Back
Top Bottom