Niishi vipi niweze ku enjoy kuwa single??

Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.

Kuwa shoga au Lesb
 
keep in your mind that no one is to be trusted. hapo utajiamini wewe na uta enjoy kuwa single like me.... zile nanii zikija nanunua zinazouzwa...pale masakuu bei sawa na bure

kwa nini ununue, huna friends of benefit wa ku-enjoy nao mpka ununua hayo ma dildo realness
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usijali ndo maana mimi na Husninyo ni mchungaji na sista

Anafanya kazi ya kuwakusanya kondoo wangu!!!!!!!!!!!!!!lol!

Mhhh ! Halafu akisha kukusanyia hao wana kondoo! Halafu wewe unafanya nini!
Au unaanza kuwala kabla hawajafika kwa mwenye mali kama huyi hapa chini!

JF Senior Expert MemberArrayJoi.


-Mchungaji afumaniwa na Mke wa Mwanakondoo LIVE.

Kwa wale mnaojitutumia kuwa ni "wana wa mungu milio safi " lakini pia mnapenda kula uroda nje ya ndoa zenu na wana kondoo yawapaswa kuepuka jambo hilo kwani iajapo siku Mungu atasema nanyi kwa matendo ..Bofya hapo chini kushuhudis kisago kikali na matembezi ya "mshikamano ya aibu" kwa Mchungaji na Mke wa Afande huko Kenya waliofumaniwa wakivunja amri ya sita:Jungle Justice: Kenyan Pastor caught fornicating with a Policemans wife-Ni kwa tahadhari tu ya kukumbushana. Nimeshindwa kuleta hizo picha za aibu hapa jukwanai labda kama mods wanaweza kufanya makeke ya kiatalaam zikae sawa kwa hadhi ya kuonywa hapa.

Kwi kwi kwi kwi kwi!
 
Last edited by a moderator:
Kwani???? WEWE NI MKE AU MME? NACHELEA KUSEMA UNATAFUTA BWANA WA KUKUKUNA. WACHA MASELA WAKU P.M.
 
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.
Kwa jamii za kiafrica maisha ya single yana changamoto nyingi, hata kama umetulia utaonekana kicheche, utaonekana si mkamilifu katika jamii, kuna wakati utahitaji mtoto ambae hapatikani mpaka uwe na mwenza, ukisema hutaki mtoto familia itakusumbua. Mwisho kabisa ni kwamba hata kama utafanikiwa kuishi katika "stress free zone" basi tambua kwamba wazee (hasa mama) hadi atakufa hatakua na furaha.. Mimi nakushauri uwe na subira kutafuta mtu wa kuishi nae bila ya kuwa na mwenza "mtu si mtu"
 
Kama una rafiki yako wa jinsia ya kiume unaye muamini na unahisi hawezi kukutokea, mfanye ndiye awe mtu wako wa karibu hata mkiwa mnatoka, mkichat itakuwa ni kirafiki kirafiki tu lakini akikupa care akapitiliza si ajabu mkajikuta wapenzi pasipo kuwa na habari.

Kwani ni nani aliyekutia kwenye mawasiliano.....anza kujiamini, chakarika, usiwe tegemezi ama sivyo utakuwa mtumwa kila siku wa penzi ambalo ni matatizo
 
Tafuta tambi moja la Njenje likulee kama ninavyolelewa mimi.
Vijana wasumbufu, Btw ukiona wanaume hawaeleweki...change motion.

hivi we mdada hii kitu unamaanishaga kweli eehe? huwa nadhani masihara vile lakini naona kama unazidi kukisema tu over and over again! and you seem to be happy with it, loh!
 
jaribu kubadilisha company na kufanya yale ambayo unatamani kufanya au haujayafanya kwa muda mrefu,soma vitabu na distract yourself from the routine you are used.
 
Aaha kila siku natoa link ya our singles network...mi ndo MD mwenyewe...ok...kwanza ili kuwa happy single lazima uwe na vifuatavo
- Financial Freedom...i mean really freedom,yani unaenda kokote anytime tukikuita visiwa vya saanane weekend unakuja bila stress fasta.
-life is short...dont waste it in hate na maugomvi au beef zisizo na msingi...try to be happy all the time
- inabidi uwe mpenzi wa movies...ratiba ya quality centre na mlimani city uwe nayo...
-learn new things,new courses expand your career
-chat.chat.chat..ila usi entertain kukutana physically..nimeskia story story si nzuri sana.install skype in your pc (afu add me:wave:)
-single life ni noumaaaaaa...[/QUOT

Kizazi kipya kazi mnayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom