Niishi vipi niweze ku enjoy kuwa single??

NAUREEEN

Member
Oct 31, 2012
66
52
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.
 
Kwani ni nani aliyekutia kwenye mawasiliano.....anza kujiamini, chakarika, usiwe tegemezi ama sivyo utakuwa mtumwa kila siku wa penzi ambalo ni matatizo
 
Labda mmh ila noo Hilo haliwezekani hata kdg hasa kama umeshatimiza 25+. You cant change but at most alter the nature!
 
ukiamua kua singo vyote hivyo utavipata kasoro sex tu, hivyo haikuzuii kua na kampani, outing, wala kuenjoy life, ni wewe tu kuwatumia vyema wanakuzunguka
 
Tafuta tambi moja la Njenje likulee kama ninavyolelewa mimi.
Vijana wasumbufu, Btw ukiona wanaume hawaeleweki...change motion.
 
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.

Maisha ni wewe muamuzi. Hakuna mtu anayekuamulia. Ukishatamani step inayofata ni kuchukua maamuzi kwa matamanio yako. Ukishaamua ni ku stick katika maamuzi yako. Ukiamua halafu ukawa haujielewi elewi nin unataka then u will always fall for anything. Focus. Take courage and move on
 
ukiamua kua singo vyote hivyo utavipata kasoro sex tu, hivyo haikuzuii kua na kampani, outing, wala kuenjoy life, ni wewe tu kuwatumia vyema wanakuzunguka

Sijui nani alimdanganya kuwa ukiwa single huwezi kupata company au outing?! Inawezakana anachanganya outing/company na sex!
 
keep in your mind that no one is to be trusted. hapo utajiamini wewe na uta enjoy kuwa single like me.... zile nanii zikija nanunua zinazouzwa...pale masakuu bei sawa na bure
 
Nitafute nikufundishe kwa vitendo

Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.
 
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.

Aaha kila siku natoa link ya our singles network...mi ndo MD mwenyewe...ok...kwanza ili kuwa happy single lazima uwe na vifuatavo
- Financial Freedom...i mean really freedom,yani unaenda kokote anytime tukikuita visiwa vya saanane weekend unakuja bila stress fasta.
-life is short...dont waste it in hate na maugomvi au beef zisizo na msingi...try to be happy all the time
- inabidi uwe mpenzi wa movies...ratiba ya quality centre na mlimani city uwe nayo...
-learn new things,new courses expand your career
-chat.chat.chat..ila usi entertain kukutana physically..nimeskia story story si nzuri sana.install skype in your pc (afu add me:wave:)
-single life ni noumaaaaaa...
 
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.
Mpendwa acha ubakhili "the worst thing in life is lonelyness" uchoyo haunaga kheri..... ungana na wanadamu wenzio kuna matunda mtavuna pamoja na nguo mtafua pamoja !! together life is short.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom