Niishi vipi niweze ku enjoy kuwa single??

Rahisi tu, just make friends of benefit wapo tele tu,n u wont miss a moment cha msingi uwe unawaeleza ukweli unataka nini! Mi nipo single na na-enjoy life! naureen
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.

1. Jiunge na kwaya kanisani
2. Fanya mazoezi ya viungo kwa wingi
3. Soma biblia
4. Jitolee kusaidia vituo vya watoto yatima.
 
aaha kila siku natoa link ya our singles network...mi ndo md mwenyewe...ok...kwanza ili kuwa happy single lazima uwe na vifuatavo
- financial freedom...i mean really freedom,yani unaenda kokote anytime tukikuita visiwa vya saanane weekend unakuja bila stress fasta.
-life is short...dont waste it in hate na maugomvi au beef zisizo na msingi...try to be happy all the time
- inabidi uwe mpenzi wa movies...ratiba ya quality centre na mlimani city uwe nayo...
-learn new things,new courses expand your career
-chat.chat.chat..ila usi entertain kukutana physically..nimeskia story story si nzuri sana.install skype in your pc (afu add me:wave:)
-single life ni noumaaaaaa...

i like your advice,umenisaidia,be blessed my dear.yani katika wote walionijibu we peke yako ndio umenijibu nilichouliza
 
eti eeeh, masingo wote ntawaleta. ila kaka chombeza chombeza basi kwa huyu mlimbwende.

Walete wote hasa wa kike sawaeeeeeeeeehh!!!!!!!

Huyu unadhani yuko single kama navyodai?

Aaaahhh wapi

Siku hizi hii ndio dizaini mpya ya kutafuta wachumba!

Hana lolote

Serious,mimi niko singo na nina mwaka sijaona kyupi ya mwanamke

Si unanijua?

Sasa mbona sijaja hapa kutafuta ushauri?

Mstukie huyo!!!!!!!
 
watu tunatofautiana kaka, yy hajazoea kuwa single ndio maana anaomba ushauri. wengine single life ndio mpango mzima na tunaenjoy. ila hebu mzoee zoee nataka wifi mie jamani. lol
 
watu tunatofautiana kaka, yy hajazoea kuwa single ndio maana anaomba ushauri. wengine single life ndio mpango mzima na tunaenjoy. ila hebu mzoee zoee nataka wifi mie jamani. lol

Bado sijaamua kukutafutia wifi bana

We subiri tu

Si tuikuze parokia yetu kwanza

Kama ukipata shida yoyote nitakusaidia

Mimi si ndio niko karibu yako bana

Tushikamane kwanza kwenye parokia mambo ya wifi baadae!
 
Ni sababu zipi zinakufanya utamani kuishi Single? Acha Mawazo ya utata ww coz Adam pamoja na kuwekwa Eden bado alikosa faraja ya maana hata akaumbiwa Hawa wapate faraja. Kw nn watamani kurejea alikotuondoa Mola. I AM a price FREE psychologist come for knowledge repair u will enjoy kuishi na mwenzio bila kukwazana. SIMPLE.
 
Aaha kila siku natoa link ya our singles network...mi ndo MD mwenyewe...ok...kwanza ili kuwa happy single lazima uwe na vifuatavo
- Financial Freedom...i mean really freedom,yani unaenda kokote anytime tukikuita visiwa vya saanane weekend unakuja bila stress fasta.
-life is short...dont waste it in hate na maugomvi au beef zisizo na msingi...try to be happy all the time
- inabidi uwe mpenzi wa movies...ratiba ya quality centre na mlimani city uwe nayo...
-learn new things,new courses expand your career
-chat.chat.chat..ila usi entertain kukutana physically..nimeskia story story si nzuri sana.install skype in your pc (afu add me:wave:)
-single life ni noumaaaaaa...

We single He/She? Manake nimeitamani hii! nikipewa talaka ntajiunga,
 
Bado sijaamua kukutafutia wifi bana

We subiri tu

Si tuikuze parokia yetu kwanza

Kama ukipata shida yoyote nitakusaidia

Mimi si ndio niko karibu yako bana

Tushikamane kwanza kwenye parokia mambo ya wifi baadae!

halleluyah!!
 
Kuwa alone ni kazi sometimes

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi naona hili kama tangazo vile...haya jamani wale wa kiumeni wenye uwezo mzuri wa kutoa malezi kwa walimbwende...fanyeni mpango wa kumliwaza huyu single lady
 
Mi naona hili kama tangazo vile...haya jamani wale wa kiumeni wenye uwezo mzuri wa kutoa malezi kwa walimbwende...fanyeni mpango wa kumliwaza huyu single lady

huyu nishamkabidhi kwa kaka yangu eiyer. sred klozd jamani.
 
We single He/She? Manake nimeitamani hii! nikipewa talaka ntajiunga,

Single He / umeona ee..mi kuna siku nilipost thread hapa nikawaambia watu Ndoa si lazima..nikawa attacked ...ila bado nasimamia palepale...With all these marriages issue za miaka yetu hii...it's way better i live solo.ahahah
 
Unakazi ngumu yaani mimi navowatafuta siwapati then nije kukutana na wewe hakimama nitaomba hadi nitoe chozi
 
Habari zenu wana jf,

jamani napenda kuja kwenu mnishauri,natamani niwe single,na nina wasiwasi kwamba ntakuwa sina furaha kwa kukosa company kama mawasiliano na outing za pamoja na mpenzi,je nnaweza kuishi vipi nifurahie maisha ya kuwa single kwani nina muda mrefu sana tangu nilipokuwa single.please i need your help dears.

Kuwa single kwataka kujiamini na kuwa tayari kukabiliana na upweke. Ni maisha matamu na mazuri sana ukiamua mwenyewe kwa sababu zako ulizoridhika nazo. Utaufaidi zaidi usingle kama wewe sio tegemezi yaani unajitosheleza kwa kila kitu ikiwa ni pamoja na kujitoa out ukiamua, kwenda popote unapopenda, kuchagua watu wa kuwa nao kwa muda ili kukamilisha furaha yako bila bugudha. Ila kama wewe ni tegemezi, kila kitu unataka ufanyiwe, usithubutu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom