Nifanyeje? nna idea ya kipindi cha tv bt sijui nianzie wapi..!!

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Mimi ni kijana wa miaka 21, a graduate in bachelor ov masscoommunication, nina idea ya kipindi cha tv, bt sijui pa kuanzia ili kufanikisha! some1 wit an idea?? help.
 
Kwa kuwa huna mtaji wa kuanzisha TV yako, tafuta ajira kwa TV zetu nchini. Angalia kwenye tovuti zao pale palipo na "Wasiliana nasi/Contact us".
 
Ni rahisi andaa script then nenda kwa vituo vya TV kuwauzia au kama unaweza andaa kipindi chako vizuri kwa gharama zako then uende kuuza kwenye vituo vya tv.
 
Mimi ni kijana wa miaka 21, a graduate in bachelor ov masscoommunication, nina idea ya kipindi cha tv, bt sijui pa kuanzia ili kufanikisha! some1 wit an idea?? help.

Kwanza kabisa jaribu kutafuta "patent attorney" ili akupe ushauri
wa kuilinda hiyo idea yako kwabla hata ya kwenda kuwauzia wenye
televisheni.
 
Hee, wewe nawe ndo nini kuingia dogo na mikwara mizito hivyo?

Hakuna cha mikwara hapa! Hunijui sikujui. Hujui business na kazi ninazofanya na mafanikio yangu hata katika fani hiyo so why kudharau mtu?? Respect yourself!
 
Back
Top Bottom