Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

Andika hivi:
Watanzania tunbadilike sasa! Kupenda vya bure, uvivu, uchafu, rushwa, kupenda udaku sasa basi tunaelekea kwenye maendeleo ya kweli na kufanya kazi kwa bidii itatufikisha!!
 
ANDIKA SAA YA UKOMBOZI NI SASA.MKUTANO UKIIISHA TU TWENDENI MAGOGONI TUKAMFUMUSHE VASCO DAGAMA.
nadhani wengi watahamasika na immediently tunaanza kuikomboa nchi kutoka kwa mkoloni CCM
 
"lazima wachaga tuchukue nji 2015"

we rejao umekalia kitufe nini?

Mimi nitaandika rais superstar unaetumia kodi kwenda kubembea kupiga picha na 50 cent, beckham, p diddy, kwanini usipige picha na kina boban?
 
Andika " ZILE MILLIONI KUMI ULIZOTOA KWENYE MSIBA WA KANUMBA ZINATUUMA SANA"
 
Andikia,jk achia ikulu slaa aingie akupe uwazi wa mambo ya nje uendeleze fani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom