Takashi,
Mkuu wangu, wengi wetu hapa tunaitakia kheri Zanzibar kama nchi ndani ya Muungano na tunaamini kabisa Muungano wa nchi yetu una mapungufu ambayo yanatakiwa kutazamwa lakini sii madai ya wanansiasa ambao wana uchu wa madaraka kutaka kupokezana Urais, uwaziri mkuu na kadhalika.
Na pia mkuu wangu nataka nikwambie kwamba ondoa hiyo ndoto ya kuuvunja muungano kwa sababu haiwezekani na haitawezekana..Hakuna kitu kama hicho kutokea. Muungano wetu umetokana na sababu kubwa za kiusalama - National Security. Hivyo, serikali haina sababu wala ulazima wa kukwambia wewe na Wazanzibar wengine ni Usalama gani au kuna tatizo gani la kiusalama kwani hii ni - Highly Confidencial..
Kwa hiyo usituone wengine hapa tunazungumza kiushabiki au tunafanya kejeri na Uzanzibar kuondoa machungu tu, lakini hii issue ni kubwa kuliko wanasiasa na wananchi wengi VIJANA wanavyoifahamu na historia yake inaanzia mbali sana kabla ya Mapinduzi, ndani ya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi. Mkuu na kati ya muda huo watu wengi wamekufa, watu walipoteza ndugu zao pasipo kujua wamekwenda wapi, kuna watu wamefukuzwa na kunyang'anywa hata uraia na wengine kupigwa marufuku kukanyaga Zanzibar au bara
Historia hii haiwezi kupotea kutokana na malalamiko ya baadhi ya watu kwa sababu tu wanataka Identity yao kitu ambacho hakiambatanishi mila na desturi za Wazanzibar. Kudai Identity ya jina pasipo kutaka haki za kimila na desturi za Wazanzibar kusimama kwanza ni sawa na kudai kuitwa Abubakar au Omar ili mradi tu uonekane unakubalika ndani ya Uislaam na upande wa pili wanajua fika kwamba majina haya sii Uislaam ila ni ya Kiarabu. (Kwa maana kwamba Abubakar na Omar (Radhiallahu Anhu) walikuwa na majina hayo hata kabla hawajaukubali Uislaam. Hivyo kushabikia jina zaidi ya imani ni fikra mgando ambazo zimetawaliwa..
Nitaendelea kuwapinga wazanzibar kila mnapokuja na hoja hii ya Identity yenu kwa sababu huku majuu Zanzibar inajulikana kuliko Tanzania yenyewe acha mbali kuwepo kwa bara au Tanganyika. Ni Identity gani mnayoitaka zaidi ikiwa dunia nzima wanajua ipo nchi inaitwa Zanzibar na wengine wanafikiria Tanzania iko ndani ya Zanzibar au karibu na Zanzibar..