Makaimati
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 462
- 87
hii ni sahihi kabisa WA Zanzibar si wamoja hata kidogo. Umoja wao unatokana na kuchukia bara. nilikuwa kule kipindi cha uchaguzi - wale wana uhasama sana
siku wakiachwa watachinjana sana na hakutakuwa na kitu kinaitwa Zanzibar na tuombe Mungu siku hiyo isitokee
Zanzibar ipo kabla ya Tanganyika Mkuu.
Wazanzibari wametambua fitna zenu mlizowaingiza nazo na sasa wanataka haki yao mlioipora kwa nguvu za dola yenu ya Tanganyika.
Hizo ndio fitna alizokuja nazo Nyerere wakati wa kumghilibu Mzee Karume lakini hata yeye aliona kero na akawahi kumwambia Dr. Omar (late SMT VP),
"Viongozi wetu hawana la maana kuwaeleza wananchi wao, isipokuwa Hizbu,imefanya hili na Sultani alikuwa akifanya lile na lile.Jee, jamani vijana wetu tuliokuwa nao, hivi sasa ni nani anaeijuwa Hizbu ni nani anaemjuwa Sultani? Hivi kweli hamna zaidi ya haya kuwaeleza wananchi?"
Sasa mnaona Wazanzibari wanakuja juu mnaanza kushtuka na kuchonga sana tu
Zanzibar for Zanzibaris