Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y.

Kiitikio wanaimba hivi

"Sikikiza wimboooo na historia
nakumbuka maisha ya zamani na historia
......."

Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
 
Habari za weekend wakuu.
Wazee wa kushusha vitu adimu.
Kioo,Idimi,Gwankaja
Naomba hizi nyundo tafadhali.

1.Mr Paul_Mambo ya pwani.
2.Mwana F.A_Unanijua unaniskia

Noma sana wakuu.
 
Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y.

Kiitikio wanaimba hivi

"Sikikiza wimboooo na historia
nakumbuka maisha ya zamani na historia
......."

Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
Estaam ft Makamua... sio AY
 
Habari za weekend wakuu.
Wazee wa kushusha vitu adimu.
Kioo,Idimi,Gwankaja
Naomba hizi nyundo tafadhali.

1.Mr Paul_Mambo ya pwani.
2.Mwana F.A_Unanijua unaniskia

Noma sana wakuu.
Mambo ya Pwani nafikiri unamaanisha Solo Thang
 
Mimi nautafuta wimbo fulani wa gospel uliimbwa na kwaya Fulani kitambo sana. Nmesahau jina lake na Nina la kwaya yenyewe lakini nakumbuka mistari take baadhi. Na mistari yenyewe ni ifuatayo: Nimekuleta chini nikakupa kila kitu lakini umesahau kwamba Mimi ni muumba wako. Ntashukuru Nikiupata.
Mwanadamu nimekuumba nikakupa vitu vyote lakin umesahau kama mimi nimuumba wako...aisee umenikumbusha kitamboooo
 
Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y.

Kiitikio wanaimba hivi

"Sikikiza wimboooo na historia
nakumbuka maisha ya zamani na historia
......."

Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
Huyo jamaa nadhani anaitwa estam ila huo wimbo sina
 
Kuna wimbo kaimba jamaa flani nadhani alimshirikisa A.Y.

Kiitikio wanaimba hivi

"Sikikiza wimboooo na historia
nakumbuka maisha ya zamani na historia
......."

Mwenye kuufahamu anisaidie tafadhali
Mzigo ni huu hapa ndugu...
 

Attachments

  • ESTAAM FT MAKAMUA - SIKILIZA WIMBO (AUDIO) ( 128kbps ).mp3
    4.5 MB · Views: 201

Similar Discussions

Back
Top Bottom