Naomba nyimbo zilizoko kwenye album ya T.A.G Kihesa. Album inaitwa "Bwana yesu anakuita njoo".
 
Team,
Ule wimbo wa "Rafaeli" naona kuna post inasema uliwekwa humu ila niki search siuoni.

Rafaeli alikuepo,
 
Mkuu KIOO.Naomba nisaidie wimbo wa P-funk majani-Ndani ya club ft nature
Niliwashauri juu ya kusearch kwanza kwenye page hii wimbo unao utaka kabla hujaomba maana hapa wenzetu wemetudondoshea nyimbo nyingi sana lakini kwa kuwa vichwa vya watz ni vigumu twende hivyo hivyo fikiria mimi kwa sekunde tu wimbo unao utaka ulisha wekwa hapa nenda post namba 6843 utaukuta.
 
Wakuu kuna wimbo sikumbuki unaitwaje. Kwenye verse kuna Fid Q, Steve Kabuye wa Ug na Bamboo wa Ke. Kwenye chorus ni T.I.D.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom