Ni ushirikina mtupu, Anaongelewa nani hapa?

hawa waganga wanawafaidi sana waheshimiwa wetu kwa kuwachungulia ma.saburi.!!
 
Kwa hiyo kama alifanya hivyo 2010 akashinda, na mwaka huu hakufanya hivyo, tuseme kuwa ushirikina wake ulimsaidia 2010?
 
Kwa hiyo kama alifanya hivyo 2010 akashinda, na mwaka huu hakufanya hivyo, tuseme kuwa ushirikina wake ulimsaidia 2010?

Mkuu iombee Tz na wanasiasa wake, usishabikie kabisa hii thread! Utasemaje siku ''mgombea wako'' akinasa kama hivi, au ye kawa guaranteed
 
Mwanaume kaogeshwa na wanaume wenzake....cha kusikitisha wakaenda naye MOMBASA ambako pia walimuogesha.
Kuna kila dalili kuwa alisukumizwa dawa huyu.
 
Wala hakuna haja ya kuanzisha thread, dunia hii baada ya Adam, ambae alikuwa amepewa kuitiisha na kuimiliki dunia kudanganywa na shetani yale mamlaka akayachukua shetani legally, so yeyote anayetaka utajiri, nafasi kubwa za kisiasa,n.k ni lazima afanye biashara na shetani, atoe watu (roho za watu) na shetani ampe utajiri.

Ukienda kwenye nchi za ulaya kuna homes nyingi sana za watoto mataahira, wale sio watu kwa ndani, roho zao zilishauzwa kwa shetani na ndani ya ile miili yamewekwa majini au majoka, hizo ndio kafara zinafanyika all over the world.

Meli zinazozama kwenye bahari na maajali mengi ni matukio ya kichawi, wanawatoa watu ili wapate utajiri na umaarufu.

Kwa wale Bible scholars watakubaliana na mie kuwa haya yote Yohana aliyaona katika maono kwenye ufunuo wa Yohana 18. Inaelezea siku za mwisho ambapo shetani atakapokamatwa wafanyabiashara wa dunia watataharuki sana na watajiuliza watafanya na nani biashara zao kwa sababu yule aliyekuwa ananunua bidhaa zao na kuwapa utajiri amekamatwa.

Watu walio strong katika ulimwengu wa roho (giza au nuru) ndio wenye mafanikio makubwa duniani kwa sababu ulimwengu wa roho ndio unaoendesha ulimwengu unaoonekana. The spiritual world is a software and the physical world is just a hardware.

Hapa umenena mtumishi,ubarikiwe
 
:scared: Dah! Kama mtu mzima anaweza kuonesha utupu wake wa kizee kwa mganga wa kienyeji ili apate cheo, akiambiwa akalete mkono wa kushoto wa albino pamoja na sehemu zake za siri atashindwa kweli? Hii inatisha kweli kweli. Kumbe ukiwavua baadhi ya watu nguo utawakuta na mahiriza makubwa makubwa. I thank God for I worship a living God and not the Devil and his agents who are deceivers on earth and tormentors in hell.
:msela:

Jiulize kwa nini wakata viungo na wauwaji wa Albino hawakamatiki wala hawahukumiwi kunyongwa? Jibu ni hilo ulilotoa-Baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wanahusika na vitendo hivyo.
 
Back
Top Bottom