Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu heri ya mwaka mpya,

Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki?

Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia jezi ya ligi ya jimbo, huko kichwani kuna kitu kweli?

Tunategema ninyi ndio mpaze sauti za wananchi na kuwahabirisha kwa kuwapa taarifa sahihi ili waweze kufanya maamuzi sahihi, namna hii mnaaibisha taaifa, yaani mko cheap kuliko cheap yenyewe.

Halafu kwa ujinga wenu mnaona maisha mmeyapatia hapo! Kuna gharama kubwa ya kulipia, vyote mnavyokula mtalipa na mkishamalizika matumizi hao mnaliwa vichwa, lakini wala hamfikirii hilo. Wewe unaona umeukwaa lakini unasahau wewe ni mshiriki wa moja kwa moja kwenye kuwanyima haki watoto wako, ndugu zako na watanzania kwa ujumla. Ukosefu wa haki, unyonjaji, na uonevu wote wanaopitia watanzia wewe mmoja wa watu unayechangia dhuluma hii kuendelea.

"Kama unavyotazama, ni kitoweo cha mbuzi pamoja na kondoo amejitolea mbunge wa jimbo la sengerema, Mwanza, Mh. Hamisi Tabasamu. Waandishi wa Habari, radio free Africa, radio sengerema FM mwakilishi hapa unaniona Emannuel Twimanye, (kutoka) gazeti la mwananchi Makaka naye anapata hapa.

"Kubwa zaidi bila shaka hakuna mbunge wa aina hii mwenye kujitolewa kwa wanahabari wake kama wananchi wake wapiga kura wa kumsaidia, sisi ni waandishi ambao tunamuahidi Mubunge wa Jimbo la Sengerema Komredi Hamisi Tabasamu hakika tutaendelea kuchahapa nae kazi bega kwa begam waka 2024 si tu kwasababu ametoa nyama, yako mambo mengi ambayo ametusaidia mbunge.

"Ametusaidia vifaavya kwendda field hasa viatu vyenye gharama kubwa lakini pia jezi za michezo na burudani kwaajili ya kuhakikisha tunatangaza jimbo Cup 23, na hakika ilikuwa ya moto ambayo ni kama English Premier League, ligi pendwa kule uingereza. Timu 184 zimerindima katika jimbo la Sengerema

"Lakini si hayo tu, Mbunge amtusaidia mambo mengi ambayo kwa namna moja au nyingine yamkini tunasita kuyazungumza, wapo watu wenye wivu mkubwa wanaweza wakatufanyia hiyana.

"Na tukuahidi tu mbali na kitoweo hiki alivhokitoa mbunge pamoja na vifaa vya michezo; viatu tunakuahidi, kuna ngoma inakuja, gari jipya la waandishi wa habari.

"Mbunge tunakuomba ututazame 2024 utupe gari la kufikia maeneo mbalimbali kuandika kero za wananchi, maafa yanasumbua wananchi, nyumba zimedondoka watu wamekufa.

"Mbunge wewe ni shahidi, umefanya ziara yako Mh. Katika maeneo mbalimbali kuikagua Barabara, tunakupongeza sana mbunge. 2024 na mbunge Komredi Hamis Tabasamu kila kitaa tutakifikia, asante mbunge, wacha tupate kitoweo kwanza" -Mwandishi wa Habari Radio Sengerema FM Emannuel Twimanye
 
IMG-20240101-WA0008.jpg
 
Lazima wale nyama, acha roho mbaya na wivu, kuibua maovu ni jukumu la kila mtu, hata wewe
 
Mkuu ijapokuwa umeandika kwa urefu sana, nimekupata vizuri. Wandishi wa aina hii ndio wale mwandishi nguli asiyenunulika Pascal Mayalla anawaita wandishi malaya, yaani wandishi makahaba wasiokuwa na bei.

Tafuta kuna mada moja Pascally aliwahi kuiweka humu kuhusu wandishi na bahasha ujisomee. Ni aibu kubwa sana kusema kweli.
 
CCM NI JANGA LA TAIFA HILI HIYO NI RUSHWA
 
Mkuu ijapokuwa umeandika kwa urefu sana, nimekupata vizuri. Wandishi wa aina hii ndio wale mwandishi nguli asiyenunulika Pascal Mayalla anawaita wandishi malaya, yaani wandishi makahaba wasiokuwa na bei.

Tafuta kuna mada moja Pascally aliwahi kuiweka humu kuhusu wandishi na bahasha ujisomee. Ni aibu kubwa sana kusema kweli.
Kiukweli ni aibu!
P
 
Back
Top Bottom