Huyo mbunge kwa hiyo alishindwa na bingwa mwenzake ambaye ni pro kwenye ushirikina ama aliyemshinda huyo mbunge ni bingwa wa maswala ya kiroho?Duh,wanasiasa wasomi!
Kweli una allergy na ben 8 oclock.
Alichosema ni logical reasoning tuu.yaani km kaenda kote na kapigwa bao ni mwenzie kamzidi kitu.ndio kauliza km ni kuzidiwa kwa ukaribu na devil mwenyewe.
YESU ALIKATAA MADARAKA YA
Devevil alipojaribiwa.watu hawajajifunza tuu illussion ya devil. Huyo ulijishtukia kazama sana kwa hao wazee wa hell waliomuahidi power km zilizomfikisha kk hapo bila jijua watamfikisha vilipo 8izee ccm. Kupata power na umasikini,ujinga,uchawi na najisi ktk nchi na makafara mabaya.
Mzee wa kuwa kwamba...
Bariadi line inatisha sana. Alianza mzee wa vijisenti sasa mzee wa kujaza watu mapesa ameamua naye kufunga kazi.

Khaah kwani ndiye huyo?Si alikua anachuana na..Basi sitachangia tena hii thread na post zote zilizopita nakanusha.Natanguliza apology,lol
John Memose Cheyo?
Kweli una allergy na ben 8 oclock.
Alichosema ni logical reasoning tuu.yaani km kaenda kote na kapigwa bao ni mwenzie kamzidi kitu.ndio kauliza km ni kuzidiwa kwa ukaribu na devil mwenyewe.
YESU ALIKATAA MADARAKA YA
Devevil alipojaribiwa.watu hawajajifunza tuu illussion ya devil. Huyo ulijishtukia kazama sana kwa hao wazee wa hell waliomuahidi power km zilizomfikisha kk hapo bila jijua watamfikisha vilipo 8izee ccm. Kupata power na umasikini,ujinga,uchawi na najisi ktk nchi na makafara mabaya.
Hivi siasa inalipa sana eti jamani?
Haah nyinyi mnajua leo kwamba siasa za Tanzania ndumba imetawala? Ingia hivi hivi uone labda Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako ndipo utakuwa salama.