Elections 2010 Ni nani wa kuyapinga haya pia?

Ridhiwani Kikwete ya anachekacheka tu:

r.jpg
 
Na ukileta mchezo unabondwa tu:

jkubungo054.jpg

Lol huyu Bwamdogo Liziwani naye tayari ameshafanya Kitambi ?ama kweli maneno ya Yusufu Makamba Ukitaka Biashara zako ziende vizuri uwe ndani ya CCM ,(mtoto wa Rais kwa wa Africa na yeye huchukuliwa kama Rais )angalia hayo mababa mijitu mizima hapo nyuso zao zinakwambia kila kitu.
 
Yaani nakwambia hadi inachekesha ... huyo jamaa bonge wa upande wa kulia ndiye kamaliza kila kitu
 
Na wakati huo huo Kikwete akitumia gari la kifahari kabisa kugawa pipi kwa watoto:

8D6U9682+kikwete+na+pipi.JPG

Hapana this is too much angetoka walau kwenye gari akamkumbatia yule mtoto, akamjulia hali, pengine angeweza hata akampa msaada mkubwa zaidi ya pipi. Unaweza ukabaini kama sisi sote tulio kwenye JF tunge-support mtoto mmoja wa kitanzania, tungeweza kufanya mabadiliko kiasi gani!? Ninawakumbuka vijana wawili wanasheria, wote ni marehemu, Shauri na Kisarika, hawa waliacha zaidi ya vijana 50 katika level tofauti za masomo. Hawa vijana ingawaje wameachwa na wapendwa hawa bado wanaendelea kwa maana ndugu na marafiki wamechukua jukumu lile na taarifa nilizokuwa nazo kama mwaka mmoja sasa karibu wote wanafanya vizuri madarasani, wote wako secondary, inawezekana, tukiteremka kwenye magari yetu ya kifahari! Tukanusa chini kama fulani anavyonusa anapofika nchi ya ugeninini
 
Back
Top Bottom