Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

Open marriage=Tamaa tupu.
Nakuunga mkono,tatizo la uchakachuaji ni namna wewe ulivyompata mweza wako.
Ukiwa huoni noma kuchakachua ni rahisi kuangukia kwa mchakachuaji hence mambo sawia.
ENYI WAKRISTO NA WAISLAM KAMA MNATAKA WENZA WA KUTOKUWAUMIZA VICHWA MWOMBENI MUNGU ATAWAPA
Kama ni vichenchebe nendeni disco (billican/san cirro mpaka disco vumbi ) mtawapata.
My Take:Easy get, easy gone,easy to both
 
Open or no open, haiamuliwi na society wala na mume/mke. Inatokea nachurale tu kwa jinsi wawili hao watamavyokuwa wanabehave. Inafikia sehemu makubaliano yanatokea bila kuliongea jambo husika.
 
Open or no open, haiamuliwi na society wala na mume/mke. Inatokea nachurale tu kwa jinsi wawili hao watamavyokuwa wanabehave. Inafikia sehemu makubaliano yanatokea bila kuliongea jambo husika.
Biggy nachurale how? I believe lazima kuna kitu ambacho kitawasababisha mpaka mfikie hyao makubaliano tena bila ya nyie wawili kuwa na EMOTIONS na WIVU
 
Open or no open, haiamuliwi na society wala na mume/mke. Inatokea nachurale tu kwa jinsi wawili hao watamavyokuwa wanabehave. Inafikia sehemu makubaliano yanatokea bila kuliongea jambo husika.
hi dear nimekumiss..
umeona jamaa wenye tamaa wanavyotamani open marriage?mimi siwezi kila mtu amiliki wake hata kama wanaume wapo wachache wakukosa akose bahati hupanga muumba.
 
Hivi hii mada hata ambao hawajabahatika kuwa na 'closed marriage' kama huyo dogo hapo juu wanaruhusiwa kuchangia?
 
aisee watu mliooa kwa miaka zaidi ya mitano mbona hammwagi mauzoefu hapa aisee?!

naamini kabisa kabisa jamii inahitaji sana uzoefu kutoka kwenu
 
hi dear nimekumiss..
umeona jamaa wenye tamaa wanavyotamani open marriage?mimi siwezi kila mtu amiliki wake hata kama wanaume wapo wachache wakukosa akose bahati hupanga muumba.

sasa ukikosa wewe sasa.....!
 
Duh Teamo, mimi naikemea kabisa naomba isifike huku kwetu, sipendi kuja kushea mume wangu na mwanamke mwingine vivyohivyo na mimi singependa nimfanyie hivyo mume wangu. hukohuko ulaya sidhani kama wengi wanafanya hivyo. Acha tu ibaki siri mtu akicheat ila sitaki kabisa kujua.
 
Hivi hii mada hata ambao hawajabahatika kuwa na 'closed marriage' kama huyo dogo hapo juu wanaruhusiwa kuchangia?
Hahaha wewe GY hebu changia OPEN MARRIAGE hapa huo dogo anaoa next year l.o.l
 
Aisee hii thread imerushwa saa ngapi?

Hebu ngoja niisome tena vizuri.:coffee:
 
Duh Teamo, mimi naikemea kabisa naomba isifike huku kwetu, sipendi kuja kushea mume wangu na mwanamke mwingine vivyohivyo na mimi singependa nimfanyie hivyo mume wangu. hukohuko ulaya sidhani kama wengi wanafanya hivyo. Acha tu ibaki siri mtu akicheat ila sitaki kabisa kujua.

hhahaha!
sasa mkuu hii biashara ya ''sitaki kujua'' naona kama ni ngumu sana mkuu

kwanin zisiwekwe principles za open marriages watu waamue na kufanya mambo yao kwa uhuru?

mkuu mimi sioni point hapo kwenye ''KUTOKUJUA''.....!kwasababu gani ''i will f_u_c_king them chicks anyways'' sema tu we HUJUI....
 
mapenzi YANAJENGWA na wivu?how?nooooooooooooo!
Vipo vya kushea Muzee lakini sio mapenzi...hahahaha
ukiruhusu hii kitu yaani utakua unamuona mkeo/mume kama wale dada zetu wa pale naniii
raha ya mapenzi wivu uwepo japo kidogo!!
Ukiona jamaa anamuonea wivu dada poa basi ujue keshapenda pale..lol
 
sasa ukikosa wewe sasa.....!
Ninaye na hata kwa nini siwezi mlelea upuuzi na kusingizia kupitiwa na shetani,
Unajua tatizo kwa upande wetu wadada ni kumpata mtu ukitokea kwenya maumivu ya kuachwa kwa hiyo tunaivaa hata michalii ya ajabu baadae tunaanza kujutia.
 
Hahaha TEAMO acha kuchezea roho za watu wewe si unaona watu wanakwambia bora ibaki siri, somethings are too big to handle
 
hi dear nimekumiss..
umeona jamaa wenye tamaa wanavyotamani open marriage?mimi siwezi kila mtu amiliki wake hata kama wanaume wapo wachache wakukosa akose bahati hupanga muumba.

Miss ya too gal,
Unajua mm naamini kwenye upana wa ndoa...sex is just part of the package....sasa kama open marriage inamaanisha open sex life then kuna hatari ya kuharibu components nyingine ndani ya package hiyo.
Well......teamo, nitarudi kwa maelezo ya componets...sisi wenye 6+
 
Back
Top Bottom