Sijambo sana baba mtakatifu RR,Sidhani kama tutarudi huko,sana tutapata Hybrid(kama mbuzi na kama wanadamu) I cant imagine itakuwaje..Hapana ZD (hope uko salama)...
Miaka ijayo tutarudi kwenye uhusiano wetu wa asili....kama mbuzi vile....:twitch:
Makubwa haya.duuu.Dalili za mwisho wa dunia zinaanza kuonekana.
Mkuu Mfalme wa Amani..ahahahaha!
IT SAYS IT ALL DUDE...!
umeshaanza kujifunza kusoma katikati ya mistari eeh?
Sijambo sana baba mtakatifu RR,Sidhani kama tutarudi huko,sana tutapata Hybrid(kama mbuzi na kama wanadamu) I cant imagine itakuwaje..
ahahahaha!
IT SAYS IT ALL DUDE...!
umeshaanza kujifunza kusoma katikati ya mistari eeh?
[/QUOTE]Finest huko ughaibuni hakuna mila wala desturi ndomana kuna pumba nyingi wenyewe zina washinda, sisi huku tuna mila na desturi ndomana kunamambo mengi ya hekima yanaendelea, lakini watu kama hawa ni wakuogopa kama ukoma wanojaribu kushawishi jamii ya kitanzania kuwa namabo ya ajabu kama haya, usichukulie kiurahisi kuwa unalo toa hapa linaishia hapa no kuna wajinga ambao huchukuwa mambo toka hapa Mkuu.[ najua yeye mwenyewe hakubaliani nalohilo na kama ankubalinalo basi anze
QUOTE=The Finest;1606210]Teamo ki ukweli kabisa aslimia kubwa ya mapenzi yanaongozwa au yanachochewa na WIVU sasa sidhani kama mtu yuko radhi kuona MKE/MUME anamega/kumegwa huku yeye akiwa anajua ni bora usijue tu, vile vile kiini cha nyie wawili kukubaliana hadi kuwa na OPEN MARRIAGE ni nini haswa je kuna vitu ambavyo mmeshindwa kutimiziana basi labda kwa kuwa na OPEN MARRIAGE kila mtu atapata kile anachohitaji?
Kwa wenzetu inafanya kazi kutokana na malezi waliyonayo tokea mwanzoni wenzetu wanaanza relationship wakiwa na 15 years na ni mambo mengi wanayojifunza sisi huku wengine your first GF/BF unaweza kumpata labda ulikuwa una miaka 20 au 23 kwahiyo ni mambo mengi hatufundishwi tukiwa wadogo tunafundishwa tukiwa wakubwa kwahiyo unakuta vitu vingine its hard to swallow
hhahaha!
sasa mkuu hii biashara ya ''sitaki kujua'' naona kama ni ngumu sana mkuu
kwanin zisiwekwe principles za open marriages watu waamue na kufanya mambo yao kwa uhuru?
mkuu mimi sioni point hapo kwenye ''KUTOKUJUA''.....!kwasababu gani ''i will f_u_c_king them chicks anyways'' sema tu we HUJUI....
Open Marriages HAZINA RISITI!
GY naye anasema msiwe na KINGO kwenye OPEN MARRIAGETEAMO anawapenda - Muwahi nyumbani mle vibua na familia mara nne kwa wiki
TEAMO anawashauri - mzifuate sheria mama za ISC
TEAMO anawajali - hivyo anawashauri muwe na 'open marriage'
TEAMO wa kimsingi - anadai mpango mzima na mpango wa kando nani zaidi?
TEAMO wa amani - anataka ku-fabricate watu
TEAMO anafanya yote hayo BILA RISITI
GY naye anasema msiwe na KINGO kwenye OPEN MARRIAGE