Ni muda muafaka wa ku-excercise ''open marriages''..?

Ninaye na hata kwa nini siwezi mlelea upuuzi na kusingizia kupitiwa na shetani,
Unajua tatizo kwa upande wetu wadada ni kumpata mtu ukitokea kwenya maumivu ya kuachwa kwa hiyo tunaivaa hata michalii ya ajabu baadae tunaanza kujutia.
Sasa wewe unachangia hivyo kwakuwa tu UNAE?
 
Miss ya too gal,
Unajua mm naamini kwenye upana wa ndoa...sex is just part of the package....sasa kama open marriage inamaanisha open sex life then kuna hatari ya kuharibu components nyingine ndani ya package hiyo.
Well......teamo, nitarudi kwa maelezo ya componets...sisi wenye 6+
hapa kuna umuhimu wa kuwa PARENTAL CONTROL ya thread yetu pendwa
 
Ninaye na hata kwa nini siwezi mlelea upuuzi na kusingizia kupitiwa na shetani,
Unajua tatizo kwa upande wetu wadada ni kumpata mtu ukitokea kwenya maumivu ya kuachwa kwa hiyo tunaivaa hata michalii ya ajabu baadae tunaanza kujutia.
Habahaaa! Mpenzi,
Umeshawahi kuchukizwa na mpenzio then ukaitafuta back-up fasta na mkachakachuana, then hasira inaisha? Halafu unajiskkia poa tu, na unamfungia back-up vioo..hivi ni mimi tu enzi hizo?
Marytina usiniulize maswali hapa...pm me fasta...inabidi tuwasaidie hawa vijana wa dot com
 
Aisee Teamo,

Ulikuwa unawaza nini mpaka ukaanzisha hii sredi?

Manake najaribu kuimajini eti waifu ndo ananiaga anenda kubanjuliwa na mzee wa Boneti!

babu anasema NO kwenye NDOA WAZI!
 
Aisee Teamo,

Ulikuwa unawaza nini mpaka ukaanzisha hii sredi?

Manake najaribu kuimajini eti waifu ndo ananiaga anenda kubanjuliwa na mzee wa Boneti!

babu anasema NO kwenye NDOA WAZI!

Ukipenda kukagua acha na wewe wakukagulie
 
Aisee Teamo,

Ulikuwa unawaza nini mpaka ukaanzisha hii sredi?

Manake najaribu kuimajini eti waifu ndo ananiaga anenda kubanjuliwa na mzee wa Boneti!

babu anasema NO kwenye NDOA WAZI!
ahahahahahahaha!

wewe kubanjua ni RUXA?(kwa siri lakini)

na yeye kubanjuliwa ni RUXA?(kwa siri lakini)

nipe msimamo wako
 
Aisee Teamo,

Ulikuwa unawaza nini mpaka ukaanzisha hii sredi?

Manake najaribu kuimajini eti waifu ndo ananiaga anenda kubanjuliwa na mzee wa Boneti!

babu anasema NO kwenye NDOA WAZI!
And im saying this can be discussed....but when it come to polling....its a NO from me.
 
ahahahahahahaha!

wewe kubanjua ni RUXA?(kwa siri lakini)

na yeye kubanjuliwa ni RUXA?(kwa siri lakini)

nipe msimamo wako

Huo ndio msimamo wangu.

Kama waifu anaona simkojoleshi vizuri (japo ameshazaa) na aende kwa Kasibeti akamegwe lakini nisijue...... manake nikijua kuna misiba miwili inaweza kutokea.... Arudi anipe nami nichovye nimalize hamu yangu.

Hali kazalika nami ndio kama vile, na wala hajawahi kuhisi. Na maisha yanasonga mbele. Usimwambie mtu tafazali.
 
Mkuu hii mada ni nzuri sana, lakini kwangu mimi personal haiwezekani na wala haitowezekana kamwe ni bora tuendelee kudanganyana hivyo hivyo.. Kila mmoja anatoka kiwizi anaenda kumega au kumegwa... Hivi unajisikiaje pale unapojua openly kwamba huyu mwenzangu leo katoka kumegwa, halafua anakuja mnalala wote kitanda kimoja... Na kama alikuwa huru kwenda kumegwa jua jamaa alishughulika sawasawa tofauti na hizi za wizi jamaa anashughulika kwa uoga. Mkuu muda hautofika wa open marriage!!!
 
hahahahaha!
ahsante sana
 
ilakuna ishu atuwezi kukataa kuhusu hii hoja nikwamba yote haya yanafanyika sana ilayanakuja kuwa wazi mkifumaniwa na penzi si kikohozi kilificha uliwezi so atatukisema isiwe wazi ni kazi bure tu litaonekana tu napenda sana wakurya wao wapo wazi kabisa na mwanamke wakikurya ucjaribu kumpelekea umbea eti mumeo anatembea na fulani ufikiri umemkomoa utashangaa mke anamshawishi mume alemte rasmi huyo demu wakae pamoja
 
Naiteua ndoa ya mufalme ya amani iwe pilot open marriage project....ikifanikiwa nitarithisha hili wazo kwa wanangu.....

exactly....lol hapa tunaweza kujadiliana ila kukubaliana ndo itakuwa ngumu....
 
exactly....lol hapa tunaweza kujadiliana ila kukubaliana ndo itakuwa ngumu....

Mfalme wa amani anataka kuleta vita kwenye ndoa za watu.....anasahau charity starts at home....
 
Back
Top Bottom