Kuoa au kuolewa na mwana chuo aliyepanga room hakuna tofauti na kuoa au kuolewa mke/ mume wa mtu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wa salam..

HUU UZI USIFUTWE NAOMBA

kama tujuavyo maisha ya chuo ni ya uhuru sana na kujiamulia chochote kwa kuzingatia akili lazima iwe kichwani mwako.

Ndugu ndani ya nchi yetu kuna uhaba wa hostel katika vyuo vyetu kutokana na wingi wa wanafunzi ila siyo kuhalalisha huu upuuzi unaofanywa na wana chuo wa kuyaishi maisha matakatifu ya ndoa pindi wa wapo masomoni kibatili

Ndugu zangu katika mazingira ya Kuzunguka vyuo vyetu kuna nyumba za biashara zinazo kodishwa kwa mkataba maalumu kwa style ya kupanga. Wanachuo wengi makundi rika tofauti tofauti wengi wamejipangia ma gheto huko mitaani na kuyageuza madanguro huku wengine wakiishi maisha ya unyumba kwa kipindi chote cha maisha yao wakiwa chuoni

Mabinti na vijana wengi waliopanga nje ya chuo wanaishi kinyumba na ndoa zao ni za kimkakati sana na inaweza ikawa mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitatu ,miaka minne au zaidi kulingana na mazingira yake au kisomo anacho chukua

Ndugu hawa wanaishi maisha ya ndoa kabisa na waambieni, wanapika ,wanafua, wana ongozana mpaka kwenye nyumba za ibada sawa sawa na imani zao pasi na kuwaza chochote kile hali kadhali wanaongozana kila mahali na wanafanya mambo ya anasa sana

Hawa wanaume na wanawake hawana tofauti kabisa na mke na mume tunao waona katika mazingira yetu ya kila siku kasoro tuu hawabebeshani mimba ila wanajifungia wote humo ndani na kuamki humo na ikitokea binti kashika mimba basi ni kuchomoa tuu na siyo vinginevyo

Inasikitisha sana maana pindi vyuo vinapofungwa wanakuja majumbani kwa wazazi wao, ndugu jamaa na marafiki na kujionyesha wapo wema ili hali walitoka sodoma na gomora.

Binti kaolewa unyumba akiwa chuo, kijana kajiolesha unyumba akiwa chuo baada ya kumaliza wanarudi mitaani ndoa zao haramu zinakua zimevunjika, wanakaa mitaani wanapigwa na maisha alafu wanataka kuolewa na kuoa tena ndugu hii ni hatari sana.

###Kijana hichi kizazi ni hatari unakuka kuoa binti pasipo kujua kaishi na mwanaume chuoni maisha ya mume na mke, katumika kama mke mpaka kachakaa na mbaya zaidi wamefanya kila kitu miaka yote hiyo . je unategemea atakuja kuwa mke mwema kwako au zaidi ni kuwaza maisha aliyoishi na baby wake kipindi cha chuoni huku akikulinganisha wewe maisha unayo mpa na yale maisha fake ya chuoni aliyo yaishi hapo awali na baby wake huko chuoni

###Binti unaolewa na kijana ambaye teyari alikua na ndoa chuoni . Je unategemea hiyo ndoa itadumu, unategemea itakua ya baraka au itakua imebeba mikosi na manung'uniko ya mwanamke mwingine

Mbaya kabisa ndoa hizi haramu hazifutwi maagano yake na viapo vyake bali wana achana wakimaliza masomo au mmmoja wao akiona tuu akimbie mwenzake au baada ya kudiscolify kuendelea na chuo . Maagano yanakua hai , viapo , nadhiri na dhamira zipo hai. Je unategemea nini kwenye ndoa mpya uliyo kuja ipata itadumu.

Sasa vijana kwa mabinti, wazazi wetu mkae mkijua wazi kabisa kijana au binti kuoa au kuolewa na mwana chuo aliyepanga huko nje ya chuo kwa sababu zozote hakuna tofauti kabisa na kuoa mke wa mtu au kuolewa na mume wa mtu.

Viongozi wa dini na viongozi wa wasio na dini. Watu wote wenye dini waamini na wasio na dini wala hawaamini chochote ,wazazi wetu haya ndiyo yanayo endelea huko mavyuoni na ole wake ambaye hatovunja maagano hayo na kuingia kichwa kichwa maisha mapya ya ndoa na mmoja wa wana chuo hawa.

RAI YANGU KWA WAZAZI NA WANA CHUO

WAHIMIZENI VIJANA na MABINTI ZENU WAACHE KUIFI HAYA MAISHA FAKE YA NDOA PINDI WAWAPO CHUONI NA VIJANA KWA MABINTI ACHENI KUJIOLESHA NA KUOLEWA PASIPO KUFATA UTARATIBU WOWOTE , NI HERI BABY WAKO AKAKUCHUKIA NA KUKUACHA IA SIYO KUISHI MAISHA YA MKE NA MUME HUKO VYUONI , ACHA KUHARAKIENI MAISHA YOTE MTAYAKUTA HUKU MITAANI MKIMALIZA MASOMO YENU

Nb. angalizo kuna typing error nyingi sana na sina muda wa kuedit kabisa
 
Mtaani utamgonga mtoto wa nani bure bure na kwa uhuru kama mwanachuo mwenzako?

Fata mambo yako mzee ya wanazuoni waache wenyewe!
 
Ni hatari sana sana
 
Na ndio vinara wa kutoa Mimba, kutumia P2 na dawa zingine za kuzuia ujauzito zinazowaletea shida ya uzazi baadae

Utawaoa na kukuta holaa
Wasichana wasomi wengi wakiingia kwenye ndoa wanapata tabu sana kushika mimba!! Miaka 5 mtu bilabila mpaka wanaanza kwenda kwa mwamposa. Kumbe tatizo P2 zimeharibu mambo!!
 
Back
Top Bottom