Ni Mkoa gani utazidi Tanga Tanzania!

aaaah, chafya tena?...Unguja gari lakoshwa kwa maji ya asumini, iliki na mdalasini, ikisha lafukizwa na Al Oud uloroweshewa na manukato ya Asli Ruh Gulab, mnh...mantashahu!
Utaendesha kutwaa kucha huku ukiburdishwa na Nadi Ikwaan Safwaa...-shada la maua.

...uchoke weye tu.[/COLOR][/SIZE][/FONT]

chezea Mbu...
 
Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia!

Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car maana ni siku nyingi sijapata kuendesha black car! Nilifanya makeke na kupata gari jeusi kama nilivyotaka, halina miaka mingi bado jipyaa! ila limetumika kiasi chake.

Nikiwa na furaha na raha tere, baada ya kuingia ndani ya gari nikafunga mkanda wakati bado shangaa dashboard ili kujipa muda kulielewa gari na jinsi ya switch-on, nilishangaa gari lenye linaingiza four-wheel na kuanza kuondoka huku bado nimedua sija-synchlonise mwendo safari ikakolezwa kupasua tope! Nilichanganyikiwa kwa furaha na raha juu ya gari hili.

Baadaye nilipouliza inakuwaje gari lina-engage four wheel haraka hivyo tene lenyewe Niliambiwa "Unabahati sana shukuru Mungu hiyo ni heshima nimekupa wewe peke yako si kila mtu anapata hiyo heshima!"

Kitendo hicho kimenifanya ni-rank Tanga kuwa Na.01 Tanzania nzima. Kama kuna mkoa unazidi Tanga nijuzeni Tafadhali sana.

dont tell me you are back on drugs!!!!!!
 
Hahahaha....

Mkuu heshima uliyopewa hapo ni kupasua tope siyo?......

Karibu Pemba, kuna magari yanapita kwenye matope tu....Kwenye lami linapita unapolimiliki kihalali........ siyo kulikodisha,
 
Tukujuze nini sasa
Ish....!:eyeroll1:

Utaeleweje mkuu wakati hukusoma Lugha! Wala huku chambua kitabu cha Kuli na Hawala ya Fedha!
Ohooooo!:frusty:
You have so much to work on your grammar
Ish.....:crying: Grammar?

Lugha za picha hizo. Watoto kanyeni mkalale.
:welcome:

Nadhani wameshalala hao!
:amen:

Nyie watu hapo juu, turudini kwenye mada sasa.

Gari jeusi linalokatiza matopeni huko Tanga..
 
Duhh,,

Mara zote ambazo nimefika mitaa ya Ta sijawahi ona hayo magari.....Hata pale Chichi, Yatch Club n.k. Ila nasikia siku hizi kuna ukumbi mpya unaitwa Pweza maeneo ya Chuda watisha kama nini.....!! Gari hata ambazo hazijakamilika kutengenezwa ziko kwenye show room!!

Chuda pia panatisha au vipi?
 
Wiki hii nili vinjali Tanga Baada ya Mizunguko ya muda mrefu kutafuta faranga pande zote za Dunia!

Nikiwa Ocean Breeze pale Tower Street, Nilikuwa na hamu kubwa ya kuendesha black mettalic car maana ni siku nyingi sijapata kuendesha black car! Nilifanya makeke na kupata gari jeusi kama nilivyotaka, halina miaka mingi bado jipyaa! ila limetumika kiasi chake.

Nikiwa na furaha na raha tere, baada ya kuingia ndani ya gari nikafunga mkanda wakati bado shangaa dashboard ili kujipa muda kulielewa gari na jinsi ya switch-on, nilishangaa gari lenye linaingiza four-wheel na kuanza kuondoka huku bado nimedua sija-synchlonise mwendo safari ikakolezwa kupasua tope! Nilichanganyikiwa kwa furaha na raha juu ya gari hili.

Baadaye nilipouliza inakuwaje gari lina-engage four wheel haraka hivyo tene lenyewe Niliambiwa "Unabahati sana shukuru Mungu hiyo ni heshima nimekupa wewe peke yako si kila mtu anapata hiyo heshima!"

Kitendo hicho kimenifanya ni-rank Tanga kuwa Na.01 Tanzania nzima. Kama kuna mkoa unazidi Tanga nijuzeni Tafadhali sana.

Ukweli Tg ni # 1. Ila Jaribu na Kaskazini mwa Dodoma kuna magari aina ya Wa colour mzee,magar hayo hayana asumin, warid,mdalasini,Hiliki wala karafuu ila yana wheels za ajabu
 
Mmmh..men at work................kumbe nimepotea njia ndo kwanza saa nne lol.
 
Tanga hakuna lolote, magari ya kule mengi ni mabovu kilometa chache tu linakutaka ushuke! Ukitaka kupata gari la uhakika na la kukusafirisha kwa masafa marefu bila kuharibika au kukutaka ushuke nenda SONGEA (RUVUMA), magari ya kule ni nomaaa wajameni!!!!!!!
 
aaaah, chafya tena?...Unguja gari lakoshwa kwa maji ya asumini, iliki na mdalasini, ikisha lafukizwa na Al Oud uloroweshewa na manukato ya Asli Ruh Gulab, mnh...mantashahu!
Utaendesha kutwaa kucha huku ukiburdishwa na Nadi Ikwaan Safwaa...-shada la maua.

...uchoke weye tu.

Mbu haya magari umewai kuyaendesha au unasimuliwa tu! maana umenitia hamu Mkuu, kwakweli sijawai kuwapa kuendesha gari kama hilo itabidi nikutafute Mkuu
 
Last edited by a moderator:
Tanga hakuna lolote, magari ya kule mengi ni mabovu kilometa chache tu linakutaka ushuke! Ukitaka kupata gari la uhakika na la kukusafirisha kwa masafa marefu bila kuharibika au kukutaka ushuke nenda SONGEA (RUVUMA), magari ya kule ni nomaaa wajameni!!!!!!!

Mzee safari ya mwendo mrefu bila hata ya kusimama kuchimba dawa! Duh! inabidi uwe na pumzi Mkuu, na inakuwa vipi ikiwa umeweka kidhibiti mwendo na gari haliruhusu kupunguza mwendo wala kusimama sehemu? Siyo hatari hiyo Mkuu?
 
Ukweli Tg ni # 1. Ila Jaribu na Kaskazini mwa Dodoma kuna magari aina ya Wa colour mzee,magar hayo hayana asumin, warid,mdalasini,Hiliki wala karafuu ila yana wheels za ajabu

Mkuu Kaskazini mwa Dom mbona unaongelea Bara huko mkuu Tabora, Shinyanga, Mara, Mwanza kuna kitu huko mkuu kweli! au mi ndi nimekosea Geography?
 
Duhh,,

Mara zote ambazo nimefika mitaa ya Ta sijawahi ona hayo magari.....Hata pale Chichi, Yatch Club n.k. Ila nasikia siku hizi kuna ukumbi mpya unaitwa Pweza maeneo ya Chuda watisha kama nini.....!! Gari hata ambazo hazijakamilika kutengenezwa ziko kwenye show room!!

Chuda pia panatisha au vipi?

Mkuu Tanga Magari yake nimenyosha Mkono, aisifiaye mvua kwakweli imemnyea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom