Ni maumivu CHADEMA, Magufuli aacha kilio Kanda ya Ziwa

Siku sita za mapumziko za Dr. Magufuli, mkoani Geitra, zimeacha maumivu makubwa kwa Chadema, siku sita hizo zimebadili kabisa upepo wa kisiasa Kanda ya Ziwa na kuua kabisa ndoto za viongozi wa Chadema ambao walidhani kumteua Mashinji kuwa katibu mkuu mpya kungefufua upya uhai wa chama hicho kanda ya Ziwa.

Kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2015, Chadema walikuwa na wabunge takribani kumi katika mikoa ya kanda Ziwa katika majimbo , Ukerewe, Ilemela, Nyamagana, Mawsa mashariki na magharibi, Bukombe, Biharamilo, Meatu na Musoma mjini.

Lakini baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, Chadema walipoteza majimbo yote hayo isipokuwa jimbo la Ukerewe baada ya wananchi wa ukanda huo kumuunga mkono Dr. Magufuli, hali iliyowalazimu Chadema kufikiri kumteua katibu mkuu kutoka ukanda huo wa Magufuli kwa nia ya kuwagawana nngome za ufuasi.

Hata hivyo hali ilivyosasa baada ya Dr. Magufuli kwenda kwenye mapumziko nyumbani kwake mkoani Geita katika safari ya kupitia Mwanza wakati wa kwenda na kurudi, kulengo ya na madhumuni ya Chadema yanaonekana kuyeyuka.
kwani moja ya majukumu ya raisi kikatiba,
ni kusambaratisha vyama vya upinzani nchini?
 
Ama kweli duniani kuna mengi
Magufuli ameenda Chato kupumzika na kukutana na marafiki zake na kupata kero za wanafunzi za ukosefu wa madawati na vitabu ktk Jimbo aliloliongoza kwa vipindi vitatu bila kutatua kero hizo

Sasa mtoa mada anasema ameifuta CHADEMA, nashindwa kuamini kama aliota au ameandika akiwa na msongo wa mawazo

Au ndio "HAPA KAZI" imeanza kuchuja kwa kushindwa kukamua majibu na kubakia kuyatumbua majipu uchungu na kuwa Mataambazi ?
 
Yaani kuna watu hasa hawa wachumia tumbo wa Lumumba. Nilipoona kichwa cha habari hii nilidhani kwamba viongozi na wanachama wa CHADEMA wameamua kurejea CCM kwa wingi huko kanda ya ziwa kufuatia ziara ya mapumziko ya Mh. Rais, kumbe hakuna chochote cha maana. Sasa nimeamini kwamba ulaji wa viwavi huathiri afya ya akili.
mkuu ccm ndio chanzo cha matatizo yaliyopo hapa nchini
 
MMh! kwani bado kampeni zinaendelea!? si tulishapiga kura toka mwaka jana?! acha kubwabwaja fanya kazi. mtu anayekaa kufanya tathmini zisizo na kichwa wa miguu ni dalili za uvivu ulioshindikana.
Sio uvivu tuu bali zaidi ni ujuha uliopitiliza.
 
Mtoa mada anatuambia kua Magufuli asingenda mapumzikoni Chato, CHADEMA wangezidi kujijenga? na akiondoka CHATO wananchi watarudi tena CHADEMA? mbona Rais anatawala wananchi wajinga kiasi hiki? mtoa mada mbona umekua mjinga kiasi hiki!
Hayo ndio mazezeta wa lumumba mkuu
 
Magufuli ana cheo gani ktk chama chake?
Amewahi hata kuwa katibu wa shina?
Achana nae huyo. Ndio watu wa aina hii.
ImageUploadedByJamiiForums1459856537.926123.jpg

Wanatumia sare za chama chao hata kwenda kuiba nazi wajikimu. Kazi yao kusifia tuu lakini hali zao ni huruma kabisa.
 
Kweli ccm zigo kwa taifa, nchi iko katka wakat mungu bado mnaleta porojo za kisiasa....
 
Wafuasi wa CCM nawafananisha na mazombi kama unayajua yavyotembea tu kufyonza damu za watu, uzombi huo umefanya Nchi yetu kuumia maana wameinyonya damu na kuiswakungura, so CCM members are Zombies. Ilo gazeti nalo zombie tu maana kila likitoka uwa ni taarifa ya CHADEMA. Wajinga kweli hawa, Msoma kuna majimbo matano, Bukoba moja kama livyokuwa moja la Bihamulo, Mwanza na shinyanga. Kwani Msoma ni kada ya Malawi!!!! Mazombi hayafikili hata siku moja.
 
Kama hukutoka hutoki tena...milango ishafungwa....nazungumzia ki maisha:p
 
Wafuasi wa CCM nawafananisha na mazombi kama unayajua yavyotembea tu kufyonza damu za watu, uzombi huo umefanya Nchi yetu kuumia maana wameinyonya damu na kuiswakungura, so CCM members are Zombies. Ilo gazeti nalo zombie tu maana kila likitoka uwa ni taarifa ya CHADEMA. Wajinga kweli hawa, Msoma kuna majimbo matano, Bukoba moja kama livyokuwa moja la Bihamulo, Mwanza na shinyanga. Kwani Msoma ni kada ya Malawi!!!! Mazombi hayafikili hata siku moja.
Hata mimi mzazi wako unaniita zombi?
 
Mimi nadhani uelewa mdogo wamleta maada kwamaana majimbo yote Tz yalikuwa chini ya ccm lakini upinzani ulipo ingia umezidi kuiangamiza ccm maana wabunge wa upinzani wanazidi kuongezeka na ccm wanapungua
 
Na bado. Chukia mpaka macho yawe yanatoa damu, hapo angalau tutakuhurumia tukupe aspirin. Ila, utaendelea kuumia sana maana kamba haitalegea.
Wewe mtu ni mnyarwanda alafu unajidai kujikomba kwa watawala, kweli dunia ni uwanja wa fujo
 
Mimi nadhani uelewa mdogo wamleta maada kwamaana majimbo yote Tz yalikuwa chini ya ccm lakini upinzani ulipo ingia umezidi kuiangamiza ccm maana wabunge wa upinzani wanazidi kuongezeka na ccm wanapungua
Daaaaaaaa!!!!,jambo hilo walishakatazwa kuliongelea na kukiri kuwa ccm inapoteza na ndio maana hata umeya wa dsm walikuwa wakiota kuwa watauchukua wakati namba zinajionyesha
 
Wewe mtu ni mnyarwanda alafu unajidai kujikomba kwa watawala, kweli dunia ni uwanja wa fujo
Safi sana. Ndio ujue CCM is international. Ina wafuasi hadi Rwanda na zaidi.
Naomba nikuulize swali, unajidai mtanzania hata kiswahili spelling unashindwa? Pole sana.
 
Nchi ipo katika kipindi kigumu yeye bado anaendekeza siasa.
Yeye kama rais haya mambo hayana maana kwa sasa,asubiri wakati wa kampeni.

Hili ndilo tatizo la CCM,muda wote wanaendekeza siasa,nchi inaendeshwa kichama!
Hakuna siku hata moja siasa inayosimama katika nchi labda jeshi likipindua nchi.
 
Back
Top Bottom